Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Big up Mr Q.... Oddds ndogo ndogo watu wengi huwa tunazichukulia poa ila zina tija sana kama zikikusanywa game nyingi
 
Last edited by a moderator:
Big up Mr Q.... Oddds ndogo ndogo watu wengi huwa tunazichukulia poa ila zina tija sana kama zikikusanywa game nyingi

Sure c.e.o....
Wale walioko bet365 wanayo option moja nzuri sana
Inaitwa own goal yaani tangu naanza kubeti leo ndo nimeona timu ikijifunga naona nayo inaweza kuwa the best japo nayo ina odds ndogo.....
Mlioko huko jaribuni afu mnatupia mzigo
 
Last edited by a moderator:
Naonq mechi ya olimpiakos imehairishwa ....sasa na mkeka wangu unakuwa umearibika? Au watanionea huruma....
 
Naonq mechi ya olimpiakos imehairishwa ....sasa na mkeka wangu unakuwa umearibika? Au watanionea huruma....

Chukua kiasi cha pesa ambacho ilitakiwa ushinde then gawanya kwa odds za hyo game ya Olympiakos jibu ndyo pesa zako halali baada ya hyo game kuwa postponed
 
Napoli
Lazio
Florentina
At Madrid
VIllarreal

Zote win
 
Kiukweli betting imekuwa ngumu sana matokeo mengi yamekuja kinyume leo tujaribu option ya over hasa game za Uholanzi usiiamini timu yoyote ukaipa mazima vinginevyo ni kichapo tu.
 
Meridian Kuna nini leo mbona nikifungua mtandao unasema "sorry, visitors from your country are not allowed to view this page."
 
1153758239631 Standard account
------------------------------------------
[3/3]
1126 22-11 15:00:00 Rabotnicki-Shkupi Skop
Total Goals 2-5 1.33
0880 Rozwoj Katowice:Olimpia G.
Total Goals 2-5 1.35
0653 DPMM FC:Balestier Khalsa
Total Goals 2-5 1.31
------------------------------------------
Total: 5000.00
------------------------------------------
Win: 11760.53
Tax: 1216.90
Max payout: 10543.63
Combination count: 1
------------------------------------------
21-11 14:59:15
 
wadau,nisaidieni hapa maana meridian toka jana nimewatumia e-mail lakini hamna response yyte.
[TABLE="width: 557"]
[TR]
[TH]Sat
[/TH]
[TH]21/11/15
[/TH]
[TH]IL
[/TH]
[TH]Rozw?j Katowice
[/TH]
[TH]0 - 2
[/TH]
[TH]Olimpia Grudziądz
[/TH]
[/TR]
[/TABLE]
cha ajabu meridian wameonyesha magoli hayakufika 2-5 kama mkeka unavyo jionyesha hapo juu wameweka sasa najiuliza hili ni tatizo la system au ni makusudi!.wadau muwe mnakagua mikeka yenu ambayo mume loose mingine inakuwa si kweli.
 
Won.......game ni moja moja kuimarisha na kulinda Mtaji

Mkuu well said..nina $ 40 hapa. Nimezigawa Williamhill na Ladbrokes. Game moja tu kwa siku. Nataka niende unbeaten mwezi mzima kwa siku 30. Per Game nacheza $3 nione nini kitafuata. Nimekwepa kodi 18% maana mmmh!
 

pole sana mkuu. Meridian imechoka; imeishiwa pumzi na haiwezi hata kupanda mlima. Kuna wakati huwa wanazidiwa odds na m bet. Mimi nimejiunga na makampuni ya nje kama 5 hivi. Kukwepa uonevu wa kodi 18% ambao makampuni yameamua kukwepa makusudi. Nimejiunga
1) supabets. 2) williamhill. 3) Ladbrokes. 4)bet365. 5) bwin....
Kilichonifanya nifanye hivi ni kufanya odds comparison ambayo ni muhimu sana kwenye hii industry.
 
Ngoja nipumzike.... kila siku mechi moja.....

1153758000234 Standard account
------------------------------------------
[16/16]
1437 Nuneaton:Utd of Manch.
Total Goals 2-4 1.53
1447 Brackley Town:Stalybridge Celtic
GG/NG GG 1.53
1449 Corby Town:Harrogate Town
Total Goals 2-4 1.53
1446 Alfreton Town:Boston Utd
GG/NG GG 1.51
1448 Bradford PA:Hednesford Town
Total Goals 2-4 1.53
0028 Solihull Moors:Gloucester
Total Goals 2-4 1.54
1485 Sutton Utd:Havant&W.
Total Goals 2-4 1.54
1473 Chelmsford:Eastbourne Utd
Total Goals 2-4 1.54
1501 Whitehawk:Concord Rangers
Total Goals 2-4 1.54
0828 Dundee Utd:St Johnstone
Total Goals 2-4 1.59
0809 Livingston:Rangers
Total Goals 2-4 1.61
0811 Queen of South:Falkirk
Total Goals 2-4 1.56
0819 Ayr Utd:Airdrie Utd.
Total Goals 2-4 1.58
0820 Brechin:Stenhousemuir
Total Goals 2-4 1.58
0049 Annan Athletic:Arbroath
Total Goals 2-4 1.55
0485 Crotone:Ternana
Total Goals 2-4 1.60
------------------------------------------
Total: 2000.00
------------------------------------------
Min win: 2301277.56
Min tax: 413869.96
Max win: 2301277.56
Max tax: 413869.96
Max payout: 1887407.60
Combination count: 1
------------------------------------------
21-11 07:50:47
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…