Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

bado kaka hata mail yangu hawajanijibu,sijui nifanyaje na nipo mbali na dar kdgo.hivi hii imisha wahi kumtokea yoyote kweli timu imeshinda ila wao wameweka haijashinda

Mkuu mimi mwaka jana ilinitokea lakini tofauti kidogo na wewe. Kwa upande wangu mimi sikushinda lakini tiketi ilionesha kuwa nimeshinda. Sikuamini macho yangu siku hiyo...basi nikajua ni hitilafu ya mtandao baadae wangechukua pesa yao...kwa hofu mimi nikachukua ile pesa niliyoshinda kama $ 46 nika bet yote baada kama ya kuplace bet kama 3 concecutive nikatoa mkwanja wangu.

Angalia tazama kwenye picha ya ticket hapo utaona Slovan Liberec vs Sigma olomouc...mi nilimpa Liberec ashinde handcap


Hiyo picha ya chini yake ni matokeo ya hiyo mechi.
 

Attachments

  • 1448300000053.jpg
    38.2 KB · Views: 313
  • 1448300037861.jpg
    55.2 KB · Views: 293
dah kaka naona ulifumua mzigo ci kitoto,nadhani sometimes sijui nini kinatokea.kampuni gani hiyo mkuu?
 
dah kaka naona ulifumua mzigo ci kitoto,nadhani sometimes sijui nini kinatokea.kampuni gani hiyo mkuu?

Hiyo ni iplay8casino, sema mara mwisho nimecheki sports betting ilikuwa inactive..online casino ndo ilikuwa inapiga kazi!!
 
Duuuh..hawa meridian vip.kila nikijaribu kusubmit mkeka naambiwa not enough money cjui tatizo nni na hela ipo....mtaalamu amisaidie
 
Mpaka alhamisi hiyo.

Arsenal-1&H2+
Barcelona-1&H2+
Liverpool-1&H2+

Total Odds=3.2

Natupia 1 M
 


Odd 2.3
45minutes
 

Attachments

  • todayars&munch.png
    6.7 KB · Views: 1,028
Hapo vipi wadau
 

Attachments

  • 1448358877210.jpg
    43.7 KB · Views: 287
Wakuu hii mechi ya Bate na Bayer leverksen mnaionaje
 
HAWA HAPA NI HOME TUPU
Barcaleno
Bayern
Oxford
Atletico Madrid
Man U
Schalke 04
livepool
Nataka kujiua ivooo ela ya week
 
Wadau nina hela mpesa nataka iende account ya Crdb,ninahamisha vp hi kitu maana naona kama inanizingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…