Makassy Juniour
Member
- Feb 19, 2014
- 42
- 8
Nani alifuata hii...
Hahaaa bet win
inakuaje nataka kujiunga meridian
Mkuu soma post za nyuma hiyoo ishaelezewa sana humu ndani...samahani kama nitakukwaza
Karibuni tuwekeze katika soko la betting... Iwe Meridian, M-Bet, Ladbrokerz, Iplay8casino n.k.
Mi kwangu www.meridianbet.co.tz haifunguki kama siku nne hivi,na kwa wengine iko hivi?,natumia simu(sony), zamani nilikua nafungua kwa kutumia Google Chrome lkn siku hizi haikubali, Nimejaribu web browser nayo inakataa.
Sijui siku zinafanana? Ngoja tufuatane leo jana nikizembea...Leo
Odd 2.04
Sijui siku zinafanana? Ngoja tufuatane leo jana nikizembea...
Mhh ngoja na mimi niunge mnyororo