Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapo vp wadau
 
Attachments

  • 1449289973309.jpg
    1449289973309.jpg
    29.7 KB · Views: 274
  • 1449289987303.jpg
    1449289987303.jpg
    29.7 KB · Views: 266
This time for two plus[2+]
Siju ni kifaa ni tatizo la mtandao sijui ni kifaa ninachotumia, kiola nikijaribu kufungua ukurasa unaoonyesha records za timu haufunguki wiki ya pili sas zaidi kunakuwa na maandishi ERROR403 EMPT PAGE, GURU MEDITATION sijui kama wenzangu mmeliona? maana kucheza 2+ lazima usome vizuri records za timu kitu ambacho sasa nimeshindwa ku bet.
 
Mkuu hilo tatizo sijawahi kutana nalo hivyo sina uzoefu nalo na hivyo hata suluhisho sina

Maybe jaribu kubadilisha browser unayotumia n.k...
 
Some quotas have been modified. Enyi mawakala mlioko humu na wenye kujua hii ishu kwenye meridian inasababishwa na nini wakati mtu unapotaka kusubmit mkeka?
 
Hapo baadhi ya vitu huwa vimebadilishwa mf odds au muda WA mechi kufika n.k
 
IN THIS I TRUST

arsenal win 1.24
real madrid win. 1.10
bayern munich win 1.33
ajax win 1.29
fc porto win 1.18
barcelona win 1.29
 
Hapo vp wadau

Mkuu mkeka wako huwa nashindwa kuuelewa, hapo naona kuna majina ya timu na kulia kuna odd moja tu ambayo umeichagua halafu kuna neno YES,, Sasa nashindwa kujua hapo umechagua timu ya kwanza au ya pili na umechagua nini win, draw or lose, au option gani. Hebu jaribu kutuelewesha ukiwa unaweka timu mkuu.

Some quotas have been modified. Enyi mawakala mlioko humu na wenye kujua hii ishu kwenye meridian inasababishwa na nini wakati mtu unapotaka kusubmit mkeka?

Hapa kama jamaa alivyosema, mara nyingi inatokea match ikiwa in play quotas(odds) zinabadilika badilika.
 
Mkuu mkeka wako huwa nashindwa kuuelewa, hapo naona kuna majina ya timu na kulia kuna odd moja tu ambayo umeichagua halafu kuna neno YES,, Sasa nashindwa kujua hapo umechagua timu ya kwanza au ya pili na umechagua nini win, draw or lose, au option gani. Hebu jaribu kutuelewesha ukiwa unaweka timu mkuu.

Hapa kama jamaa alivyosema, mara nyingi inatokea match ikiwa in play quotas(odds) zinabadilika badilika.

Both teams will score yes ukiweka no inamaana timu moja ndo itafunga au hazitafungana kabisaaa
 
Back
Top Bottom