Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hadi urudi mwanzo na kurekebisha hizo ambazo zimebadirika ndio u submit upya

Unamaanisha kuziplace au kuziselect upya? Maana timu nazovhagua zinacheza sakumi na mbili ingekua zimeanza kucheza hapo sawa
 
HIGHEST RISK (MICROPHONE TEST)

13/13]
0422 06-12 00:05:00 Betis-Celta
GG/NG NGNG 1.72
0417 05-12 22:30:00 Valencia-Barcelona
GG/NG NGNG 1.80
0348 05-12 17:30:00 Hamburger-Mainz
GG/NG NGNG 1.63
0213 05-12 20:30:00 Rapid Vienna-Ried
GG/NG NGNG 1.60
1321 05-12 18:00:00 Nottm Forest-Fulham
GG/NG NGNG 1.69
1309 05-12 22:30:00 Beveren-Standard
GG/NG NGNG 1.70
1363 05-12 19:45:00 Zurich-Sion
GG/NG NGNG 1.60
2072 05-12 18:00:00 Halifax Town-Guiseley
GG/NG NGNG 1.76
0613 05-12 18:00:00 Hemel-Ebbsfleet Utd
GG/NG NGNG 1.60
0562 05-12 18:00:00 Hednesford Town-Fylde
GG/NG NGNG 1.79
0555 05-12 18:00:00 Chorley-North Ferriby
GG/NG NGNG 1.79
0138 05-12 18:00:00 East Stirling-Clyde
GG/NG NGNG 1.77
0323 05-12 18:00:00 Stirling Albion-Elgin
GG/NG NGNG 1.77
------------------------------------------
Total: 9530.00
------------------------------------------
Min win: 5000000.00
Min tax: 898284.60
Max win: 9998671.35
Max tax: 1798045.44
Max payout: 8200625.9
 
  • Thanks
Reactions: DLS
Jamani kama kuna group la wazee wa mikeka whatsapp nomba mniadd 0712361699
 
Mkuu hio kweli high risk..ila chochote kinawezekana
 
Unamaanisha kuziplace au kuziselect upya? Maana timu nazovhagua zinacheza sakumi na mbili ingekua zimeanza kucheza hapo sawa

Panakuaga na kiboksi chini kimeandikwa accept all changes, wakikwambia some quotas has been modified. Unatakiwa u-accept changes ndo usubmit.

Angalia kwenye picha.
attachment.php
 

Attachments

  • accept.png
    accept.png
    4.1 KB · Views: 808
Panakuaga na kiboksi chini kimeandikwa accept all changes, wakikwambia some quotas has been modified. Unatakiwa u-accept changes ndo usubmit.

Angalia kwenye picha.
attachment.php

wabheja mwanawan ngoj niingie desktop version manake kwa simu siion hiyo option afu huo mkeka wako ngoja nipote nao
 
hivi kwenye kujisajili kwenye meridian ile sehemu ya kuweka namba ni lazma iwe namba ya voda sababu mimi nimeweka ya tigo

nisaidien hili.
 
kubet kwenye m bett ninatakiwa kubet muda gani kabla ya mech kuanza?
 
Back
Top Bottom