PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
Aah ww napoli yupo on fire!!
Duuuuh Napoli sio wa kumuweekea mtaji Hafai huyo
Aah ww napoli yupo on fire!!
Villarreal (1.56)
Rb leipzig (1.42)
Athletic club (1.46)
Fiorentina (1.46)
Club brugge (1.46)
Corinthians (1.69)
Fc copenhagen (1.42)
Peteborough (1.56)
Oxford united (1.46)
Zote hizo ni home WIN
Kaka Corinthias washakua ubingwa halafu hao Avai wanapigania wasishuke daraja.
Villarreal (1.56)
Rb leipzig (1.42)
Athletic club (1.46)
Fiorentina (1.46)
Club brugge (1.46)
Corinthians (1.69)
Fc copenhagen (1.42)
Peteborough (1.56)
Oxford united (1.46)
Zote hizo ni home WIN
Corithians usimuhesabu cuz kashachukua ndoo na leo ndo game ya mwisho
Waliopewa point 1:46 wote watoe alafu tia mzigo wa maanaVillarreal (1.56)
Rb leipzig (1.42)
Athletic club (1.46)
Fiorentina (1.46)
Club brugge (1.46)
Corinthians (1.69)
Fc copenhagen (1.42)
Peteborough (1.56)
Oxford united (1.46)
Zote hizo ni home WIN
Heshima kwenu wanajamvi ndio jana ilikua siku isiyosomeka lakini ndio betting hiyo leo nayo ni siku pia jamani ninaomba mechi TATU tu nataka nitupie 100,000/= jamani Mungu awaongoze.
Napenda kuuliza,aliyekula ajitokeze tumuone.
nimekula mie baada ya kuliwa mapema nikajiuliza tena
Hizo timu za 1.46, 1.18 ndio zinawaangusha... Weka timu za 2.20,2.00,3.20 tia mzigo
nimekula mie baada ya kuliwa mapema nikajiuliza tena
Hizo timu za 1.46, 1.18 ndio zinawaangusha... Weka timu za 2.20,2.00,3.20 tia mzigo
Atheletic bilbao
Napoli win
Marseille win
Feyenoord win
Clubbe bruge win
Liverpool win
Odds 10