chagua hapo
naomba msaana tafadhali wa harka kwanini nikishamaliza kubet hapa M BET naponyeza SUBMIT BETTING SLIP then naingiza pesa kutumia m pesa baada ya hapo nathani ndio nimemaliza so kwanini baada ya mda mfupi m bet wanairudisha ile pesa kwangu tena bila maelezo yoyote ....na sipewi risit au ni mimi nakosea proses naomba msaada
nimekula mie baada ya kuliwa mapema nikajiuliza tena
Wakuu vipi? Jana nilibet timu kama 6. Matokeo miatano yako sawa ila moja iko draw mi niliweka kushinda. Hapo muhind unaweza kunipa chochote?
I trust on dis bet....
Hapo vp,