Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau eeh naona ka nimemla kanjibai, ila nn game ya Everton niliweka 14 kwenye premier bet. Halafu sikumbuki 14 ilikuwa nn
 
Hiyo apo
 

Attachments

  • 1449547941733.jpg
    1449547941733.jpg
    55.2 KB · Views: 300
dah cha ajabu nacheki tena salio linaonyesha kiasi chote cha fedha hata ambazo nili deposit kwenda account ya william hill kinaonekana hakijakatwa ila nimewasiliana na william hill wenyewe wanasema fedha zao kwenda kwenye aaount yangu ya william hill zilifika bila shida ila huku benki salio linasoma vilevile-hivi uki withdraw hii hela ukitumia ni makosa kisheria?

Wadau msaada ktk hili

Ahaa kumbe crdb wapo vizuri ktk mambo haya? Ngoja nifanye mchakato wa kupata kadi yao.

Pia kama mkwanja unasomeka kwenye acc tumia tu mambo mengine itafahamika mbele kwa mbele
 
itakusaidia nini!!nenda kule kwenye jukwaa la mahusiano ndo kuna umbea unaoutaka hapa hapakufai.

we unahisi mm nataka inisaidie au?? acha mambo ya kishoga bob we ulijuaje km kuna umbea km we co mmbea mwenzao
 
SOMETIMES BETTING NI PATA-POTEA.
ngoja leo nijitoe ufahamu. ni mwendo wa single betting leo
 
Game za leo Pasua kichwa wazee...Mi ningeshauri tu watu wafate mkeka huu

Psg win
Psv win
Real Madrid

Odds 2.59
 
Jitoe chaji uende iv
Borussia M win
Sevilla win
Man utd win
Cska moscow win
Atledico draw
Barcelona GG
Porto win
Arsenal win Gent win
Eufa mpaka kesho io
Weka 500 pata 2M
 
Back
Top Bottom