Joninho
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 572
- 621
msaada kuhusu huyu MAN CITY anaweza shinda leo kweli???
mim binafs naamin hawez shinda
msaada kuhusu huyu MAN CITY anaweza shinda leo kweli???
Ushauri wa bure, wale wanobet magoli leo yapo ya kumwaga. Naona team zikifungana vya kutosha
msaada kuhusu huyu MAN CITY anaweza shinda leo kweli???
mim binafs naamin hawez shinda
kuna uwezekano mkubwa man city akadroo ushauri wa bure achana nayo hiyo mechi inaweza kukuchania mkeka wako
Najiingiza kitanzini, fuata nyuki upate manundu.
Jitoe chaji uende iv
Borussia M win
Sevilla win
Man utd win
Cska moscow win
Atledico draw
Barcelona GG
Porto win
Arsenal win Gent win
Eufa mpaka kesho io
Weka 500
man u akishinda naacha kubet
😀😀😀😕😕😕 man hata ningepewa hela ya bure simwekei ng'o
😀😀😀😕😕😕 man hata ningepewa hela ya bure simwekei ng'o
kama hawezi kushinda si umuweke useme anafungwa😃😃😃😃😃
real Madrid na juventusJamani vipi leo? Naombeni timu mbili tu zenye nafuu kubwa na uwezekano mkubwa wa ushindi
ukiweka timu tatu tu kuna kitu utapata unafikiri?
Eti juve anashinda mbele ya sevilla!!
Unaweka nzigo wa maana shekh
Eti juve anashinda mbele ya sevilla!!
BASKETBALL
indiana pacers vs golden state wariors
(golden state win)
stephen curry atafanya yake