mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,736
- 1,621
Leo naenda hivi
1. Trabzonspor 1x
2.Aalborg. W
3.Jong PSV. Over 2.5
4.Grimsby over 1.5
5.Everton. Bts
Bts ndio nn?
Kwenye namba 1, 1x ni nini?
Wakuu msaada wenu tafadhali,ni kwamba huwa naweka pesa CRDB kisha kufanya transfer account ya BETTING YA WILLIAM HILL nimefanya hvyo kama mara 3.
Juzi ijumaa nilihamisha elf 53 kwenda CRDB na nikapata sms kutoka voda na CRDB kuwa muhamala umekamilika cha ajabu kwenye account Yangu ya CRDB hiyo hela ainekani nikawapigia kuwauliza,wakaniambia huwa nafanya manunuzi online hvyo pesa yako imezuiliwa,mara hadi wafanye reconciliation sasa najiulize hii hali inakuaje?
Msaada wakujiunga meridianbet
Kwenye namba 1, 1x ni nini?
Duh hii thread ina wachangiaji wengi sana, hivi kuna zidi ya hii hapa jf?
hv kuna ambae ashawah kupga hela yyte ya maana humu ndani?
Hakuna, tunajifurahisha.
Umeridhika?
hv kuna ambae ashawah kupga hela yyte ya maana humu ndani?