Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau eeh naona ka nimemla kanjibai, ila nn game ya Everton niliweka 14 kwenye premier bet. Halafu sikumbuki 14 ilikuwa nn
 
Wadau eeh naona ka nimemla kanjibai, ila nn game ya Everton niliweka 14 kwenye premier bet. Halafu sikumbuki 14 ilikuwa nn

14 wa ugenin ashinde kipindi cha pili.ila espanyol 😡😡😡
 

Ahaa kumbe crdb wapo vizuri ktk mambo haya? Ngoja nifanye mchakato wa kupata kadi yao.

Pia kama mkwanja unasomeka kwenye acc tumia tu mambo mengine itafahamika mbele kwa mbele
 
itakusaidia nini!!nenda kule kwenye jukwaa la mahusiano ndo kuna umbea unaoutaka hapa hapakufai.

we unahisi mm nataka inisaidie au?? acha mambo ya kishoga bob we ulijuaje km kuna umbea km we co mmbea mwenzao
 
SOMETIMES BETTING NI PATA-POTEA.
ngoja leo nijitoe ufahamu. ni mwendo wa single betting leo
 
Game za leo Pasua kichwa wazee...Mi ningeshauri tu watu wafate mkeka huu

Psg win
Psv win
Real Madrid

Odds 2.59
 
Jitoe chaji uende iv
Borussia M win
Sevilla win
Man utd win
Cska moscow win
Atledico draw
Barcelona GG
Porto win
Arsenal win Gent win
Eufa mpaka kesho io
Weka 500 pata 2M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…