Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi ndyo mkaliiiii wa wakaliii kwenye betting
 

Attachments

  • 1449571554663.jpg
    26.6 KB · Views: 267
psg win
madrid win
psv win
galatasaray win
juve win

kama una hela tia mzigo mkeka huu uhakika
 
man city
man utd
atletico

wadau hizi timu sio za kuziweka kabisa leo zinaweza kuchana mkeka muda wowote unaweza ukasema zinashinda zikatoa droo unaweza ukasema zinadroo zikafungwa na unaweza ukasema zinafungwa zikashinda
 
Jitoe chaji uende iv
Borussia M win
Sevilla win
Man utd win
Cska moscow win
Atledico draw
Barcelona GG
Porto win
Arsenal win Gent win
Eufa mpaka kesho io
Weka 500

man u akishinda naacha kubet
 
Ushauri wa bure, wale wanobet magoli leo yapo ya kumwaga. Naona team zikifungana vya kutosha
 
Ushauri wa bure, wale wanobet magoli leo yapo ya kumwaga. Naona team zikifungana vya kutosha

kweli kabisa game ya madrid, psg na galatasaray kuna mvua za magoli wenyewe tunaitaga kepu. man city na game ya juve wao watafungana ila game ya man utd na ya atletico hata psv kutakuwa na uhaba wa magoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…