Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nlitoa galatasaray na psg nikaongeza gsw win Nasubir mpunga kesho asubuh
 

hii ni bonge la option sema sio ya kuweka team nyng mbili tatu mwiahooo mpunga upo ukibet responsibly
 
Manueli24...... ivi iyo ni kampuni gan mkuu naona lina option muruaaa
 
ukiweka timu tatu tu kuna kitu utapata unafikiri?

Babu usikariri..ukadhani wote wanapenda kuweka misululu ya tim kwa jelo..this is betting.. kuna watu wenye mitaji yao Anaweka laki 1 mechi ka izo Odds 2.59 Anapata laki 2 na uchafu...au anaweka laki 3 anavuna laki 6 ..Kwani ana.hasara hapo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…