Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi huyo mhindi ni wa kwenye vile vibanda au mbet? Maana kama ni wa kwenye vibanda sijawahi viona hata siku moja

Vipo vingi tuu angalia sehem yenye "Premier Betting" Mfano wa mashine zinazotoa mikeka ya muhind ni hiyo hapo...
 
Attachments

  • 1406988377407.jpg
    1406988377407.jpg
    31 KB · Views: 85
Wakuu hii handcap ya Meridian inachezwaje?

Kuna over 2.5 inamaanisha magoli yatakua kuanzia matatu, na under 2.5 yaani yatakuwa 2 kushuka. so handcap maana goal difference iwe 2 so hiyo over inaweza kukubeba
 
nasikitika kusema sima bahati nakaribia mwaka unusu sijawahi kushinda hela zaidi ya sh elfu 40 ..nyie mnaoshinda laki mbili tatu n.k ebu nipeni Tips mnafanyaje au kubet nayo ni kipaj?
 
nasikitika kusema sima bahati nakaribia mwaka unusu sijawahi kushinda hela zaidi ya sh elfu 40 ..nyie mnaoshinda laki mbili tatu n.k ebu nipeni Tips mnafanyaje au kubet nayo ni kipaj?

hahahahaaa hakuna kipaji hapa aisee,,, ni experience na bahat yako tu.. 🙂
 
Wale watandaza mikeka leo mwaweka wapi maana naona kimya
 
nasikitika kusema sima bahati nakaribia mwaka unusu sijawahi kushinda hela zaidi ya sh elfu 40 ..nyie mnaoshinda laki mbili tatu n.k ebu nipeni Tips mnafanyaje au kubet nayo ni kipaj?

man city,dinamo zagreb,salzburg,cska moscow,barcelona,sparta prague,legia warszawa,steau bucuresti,vasco da gama na napoli.........weka buku 2 tu ili upate hiyo laki mbili.
 
Jamani mwenzenu leo nimepigwa 25 elf mikeka kama 8 hv!.dah sina hamu.najiuliza lini nitampga huyu mhindi hata lak 2
 
Jamani mwenzenu leo nimepigwa 25 elf mikeka kama 8 hv!.dah sina hamu.najiuliza lini nitampga huyu mhindi hata lak 2

Hahahahahaaa usikate tamaa ndugu ipo siku utapiga nae picha kabisa...
 
Wadau,baada ya kupigwa mara kwa mara niliamia set ya GG magoli mengi kpnd cha 2 Naweka buk 10 or 5 kwa timu mbili bt mambo bdo tyt.niamie wp jamani
 
Wadau,baada ya kupigwa mara kwa mara niliamia set ya GG magoli mengi kpnd cha 2 Naweka buk 10 or 5 kwa timu mbili bt mambo bdo tyt.niamie wp jamani

hamia Wire(Over/Under), tabiri idadi ya magoli match nzima kama ni zaid ya 2 au 3 au 4 au 5 au ni chini ya 2 au 3 au 4 au 5..
 
c nasikia kupiga naye picha hadi uwe umekula kuanzia kilo 5

yaaah lakini kama unataka, kuna rafiki yangu alishinda Mr. Predictor 2013 alimpiga 1.9M kwa 5000 lakini hakupiga nae picha.
 
Back
Top Bottom