Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Njia nyeupe kwenye basketball.Amka na pesa kila asubuhi NBA yatosha.
Leo; Philadephia-Mephis(Away Points Over) odd 1.94
Miami-Detroit(Away team points Over)Odd 1.90
 
Njia nyeupe kwenye basketball.Amka na pesa kila asubuhi NBA yatosha.
Leo; Philadephia-Mephis(Away Points Over) odd 1.94
Miami-Detroit(Away team points Over)Odd 1.90

Kikapu uhakika sana ngoja niufuate huu mkuu
 
Dah jaribu kuja angalau kuja hata kwa wiki mara 1 kiongozi maana wakongwe nawaona kimya sana cc root,cute b na wengne




cute b tim yake man u inamchanganya sana hadi anakosa mood ya kuja hapa,, kadhalika Root nae chelsea inamwangusha sana.




cute b na Root walikuwa na mpango wa harusi baada ya uchaguzi, labda ndiyo maana wamepotea.

Maana hata mimi mshenga wao sina taarifa zao.
Duuuh mambo yapo tyt sana wakuu...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mwongofu wewe umeshawahi kununua hizo fixed matches??? Nadhani nna ujumbe mwambie huyo muuzaji akupe free moja ili tutie pesa tupate hela ya kununulia hizo tiketi.
 
Last edited by a moderator:
good moning ?? kumekucha tena naomba ufafanuzi kidogo hapa jana nilibet timu mkeka wa timu 7 nazo ni1. AHL AHLY 2.AVELLINNO 3.BRAINTREE 4.MACCLESFIED 5.GRIMSBY hizi tano zote zilishinda na nimezioona kwenye result yao ya mtandao ..lakini kuna timm 2 zengine ambazo ni 6.AFC FYLDE 7. ALTRINCHAM hizi hata kwenye wall yao hazionekani ila jana zilikua online nikazibet so naomba ufafanuzi nifanye hapo mbona kama nimesha mpiga huyu mhindi then analeta mauza uza msaada pls
 
Hzo gemu zmeahirishwa mkuu hawajakulipa kwan

sijalipwa mzee ndio maana nahoji ,,ntalipwaje ntarudishiwa pesa nilizobet au ntalipwa kwa timm nilizoshinda maana timu 5 zimeshinda then hizo 2 ndio wamearisha
 
sijalipwa mzee ndio maana nahoji ,,ntalipwaje ntarudishiwa pesa nilizobet au ntalipwa kwa timm nilizoshinda maana timu 5 zimeshinda then hizo 2 ndio wamearisha

Kama ni meridian unalipwa kwa team zilizochezwa mkuu means zidisha point za team zilizocheza mala fedha uliyolipia mkuu
 
sijalipwa mzee ndio maana nahoji ,,ntalipwaje ntarudishiwa pesa nilizobet au ntalipwa kwa timm nilizoshinda maana timu 5 zimeshinda then hizo 2 ndio wamearisha

utalipw hiyo ya al ahl ilikuw ichezw juzi ila ikapigw jana nikalipw changu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…