Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu
Bari yuko nafasu ya 4 na Brescia yupo nafasi ya.
Kirekodi& kiuzoefu Bari anapewa nafasi ya kushinda. Faida ya uwanja wa nyumbani pia itakuwa chagizo kwao.
Hivi@Matee hajaweka mkeka leo?

Dah leo matee hajatupia bado kiongozi any way ngoja niwape maana ulikuwa pending cjalipia
 
Pia nisisahau nimewaangalia matokeo yao H2H Bari ameshinda mara 7 Brescia mara 5 pia wametoka droo x 12
 
me leo nimelipia huu muda si mrefu wa tofauti sana sidhan kama mtauelewa
 
me mwenyewe sijielewi leo jana nimepishana na hela
 

Attachments

  • 1450885009568.jpg
    1450885009568.jpg
    34.7 KB · Views: 340
Pesa ya x-mass iyo,
 

Attachments

  • 1450890272033.jpg
    1450890272033.jpg
    40.5 KB · Views: 317
Matee hicho kitimu cha misri hovyo kabisa mechi imeisha kimepigwa mbili bila na vipoint vyake vya ajabu😕
 
kazi itakuwa nzuri mana primier ndo kibonde wetu
 

Attachments

  • 1450893600588.jpg
    1450893600588.jpg
    47.3 KB · Views: 286
nishasign up tayari
 

Attachments

  • 1450895023111.jpg
    1450895023111.jpg
    14.6 KB · Views: 277
nimejiuliza ivi naona mambo sio mabaya kwa mbaliii
 

Attachments

  • 1450901071594.jpg
    1450901071594.jpg
    24.5 KB · Views: 258
Pembeni ya mechi kuna 93+

Safi sana naona uwanja ni mpana zaidi

mkuu hata mm nimejiunga nao.
tatizo liko kwenye ku deposit...mpk ununus Voucher zao.
wangejiunga na mitandao ya simu....lets wait an c
 
Back
Top Bottom