Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huyu kanjibhai ukimla hata buku lazima ushukuru...dadeki bet won...merry x-mass..
 

Attachments

  • 1450986193064.jpg
    1450986193064.jpg
    19.6 KB · Views: 262
kweli mkuu wameleta option nyingi kama za william hill,bet365 mfano hizo double chance za first half na second half amabazo ndo huwa nacheza kwenye kamuni za nje.
pia nimejaribu kuangalia option kama ya magoli ya under 3.5 mfano metch ya india vs sirlanka ya kesho ina point Under/Over 3.5 GoalsUnder 3.5 goals1.82

Over 3.5 goals1.95



huku meridian option yao ya 1-3 gaols ipo hivi
1-3

1.52



​
huku hiyo option ya premier betting hata ikitokea wametoka 0-0 utakuwa umekula tofauti na hiyo ya meridian ambayo ni lazima lipatikane goli 1
 
Spezia
Pescara
Livorno....
Hizo hapo mbaba.....

Asante Mungu.... Nikepata mtoto Wa kiume Leo mchana..... Asante Mungu

Mkuu hongera sana kwa kuwa baba, hongera sana.

Heri ya XMass na mwaka mpya kwako, wife na mtoto.

Mungu akuongoze katika malezi.
 
Back
Top Bottom