elia stephen
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 263
- 82
kumbuka kuna kesho akhera.
Ya kesho itajisumbukia yenyewe
kumbuka kuna kesho akhera.
Kodi ipo??Watatuua hawa...
kampuni nyingine ya kubet bongoland hii hapa
www.mkekabet.com
kiwango cha mwisho Mil 20
kudeposit M pesa...kuanzia Tsh 250.
byebye M bet...........
Kaka akhera ni motoni , wanakoenda watenda dhambi sisi watenda mema kwetu mbinguniiiiiikumbuka kuna kesho akhera.
Msaada njia ya kujiuna na kampuni hilo meridian wanazingua
Msaada njia ya kujiuna na kampuni hilo meridian wanazingua
Watatuua hawa...
kampuni nyingine ya kubet bongoland hii hapa
www.mkekabet.com
kiwango cha mwisho Mil 20
kudeposit M pesa...kuanzia Tsh 250.
byebye M bet...........
hongera sana mkuu...tuna uhuru wa kuchagua masoko ya oddsWengine tangu ulipo leta link tulishafanya yetu
kama ulivyo.....naufuataChelsea
Totenham
derby
plymouth
northampton
odds16
hongera sana mkuu...tuna uhuru wa kuchagua masoko ya odds
Msaada njia ya kujiuna na kampuni hilo meridian wanazingua
Thank you
but it seems a day of 2+ mambo ya final results mmmmh! Nawaachia wewe na mtoto wa nzi.
by the way mtoto wa nzi hongera kwa kupata toto la kiume.
tuma neno MKEKABET kwenda namba 15739