Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

attachment.php

Hivi ni ipi payment method ya primier betting?
 
Nafikiri ubahiri wa mzungu wa Meridian na uoga wa kupandisha dau vimefika mwisho....
PREMIER DAU KUBWA KUSHINDA NI MILIONI NGAPI?

mkuu bado sijajua,tatizo wenyewe wanatumia hizo voucher wangeunganisha na mpesa nahakika baada ya wiki meridian angekosa wateja kabisa
 
Watatuua hawa...
kampuni nyingine ya kubet bongoland hii hapa
www.mkekabet.com
kiwango cha mwisho Mil 20
kudeposit M pesa...kuanzia Tsh 250.
byebye M bet...........

nimetembelea mtandao upo fasta sana

muonekano mzuri but 1 more thing WANA OPTION CHACHE

BABA LAO NI PREMIER BETTING japo hawa nao shida yao ni namna ya kudeposit wajifunze meridian na kwa hao ulio weka link zao hapo

nakuhakikishia wakifanya hvyo watapata wateja ila mambo ya vocha mmmmmh! mpaka sijui uende kwa wakala noooo!

kama upo mikoani je?
 
hivi kwenye m bett kwenye over 2.5 na under 2.5

mfano timu ikitoka 0-0 je kama nmeweka under 2.5 ntakuwa nmeshinda?
 
Msaidieni huyu Muhubiri....mpeni seti ya premire

Wa kusaidiwa ni nyinyi mnaopotea!
Maadam nishatimiza wajibu wangu kuwafikishia ujumbe basi mwenye khof ataachana na hizo kamari na wale Sugu wataendelea nazo.
:target:
 
Wa kusaidiwa ni nyinyi mnaopotea!
Maadam nishatimiza wajibu wangu kuwafikishia ujumbe basi mwenye khof ataachana na hizo kamari na wale Sugu wataendelea nazo.
:target:

Unakataza kukojoa barabarani kuwa ni uchafuzi wa mazingira wakati wewe unatema mate hapohapo.Ama kweli nyani haoni kundule lake.
 
Back
Top Bottom