Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Mtoto wa nzi niaje mkuu ngoja nikufate leo mana ninepigwa vibaya mno
Spezia ni mkuuuuuuuu......
Last edited by a moderator:
Mtoto wa nzi niaje mkuu ngoja nikufate leo mana ninepigwa vibaya mno
kazi itakuwa nzuri mana primier ndo kibonde wetu
Samahan mkuu naomba kuuliza unawekaje hela kwenye account na wanalipa vp kama ukishinda
kuna voucher wanauza so unanunua na kujaza kuna sehemu imeandikwa dpst
Na ukishinda hela unalipwaje kama inaingia mojakwa moja kwenye account yko je unaitoa vp
Naona nao kuna kitu hakipo kwani kampuni nyingi za betting lazima wakupe historia za timu walipokutana huko nyuma ( H2H) kitu ambacho kilikuwepo kwenye meridian na sasa naona kana wamediactivate hiyo option sasa hawa jamaa sijaona hicho kitu ambacho ni muongozo mzuri sana. Halafu naona hawana option ya ku filter option . mfano ninataka kucheza option ya both team to score naziita timu zote halafu nachagua hapa sijaona naona wapo si kidigitali ila wapo ki manual zaidiunawithdraw nadhani kupitia mawakala wao au pale kko
Wazee wa basket leo nawatupia kitu hiki, hizi odd ni almost probable.
Ikibidi kakope, ukiliwa ntakulipia.
![]()
Ha ha ha, anatafuta mtaji kwa kuuza odd!
NBA nayo under/over haisomeki, nataka nitoke na odd chache chache maana winning teams zimeshaanza kujulikana now, kuna mkeka nimetupia hapo juu wasiwasi ni game ya Indiana tu.
GSW nilitaka kuwaweka lakini odd yao ni 1.08 ndogo sana, na ukiwapa first half wanaweza kuzingua maana jamaa wanashinda sana second half.
cc Steph Curry
Mkuu hii biashara ina changamoto zake utaiweza lakini? Unakifua mkuu mana unapiga miez umemla kanji asilimia 40 yeye kakukunguta 60😀😀
Kwa alichofanya premier betting.... Meridian ajipange sanaaaaaa...... Option 152 mechi moja...option 90 .... Ni Mayaga gete
Kwa alichofanya premier betting.... Meridian ajipange sanaaaaaa...... Option 152 mechi moja...option 90 .... Ni Mayaga gete
Kwel mkuu kuna option rahis xana mfano double chance firsthalf,over 0.5 goal yan kanji ajipange tukimshindwa na hapa tuache betting
Hivi ntajuaje hayo majamboz mana jana ndo nimeanza kubet ktka maisha yang na nimeliwa.nlitumia M bet wakuu.
kuna voucher wanauza so unanunua na kujaza kuna sehemu imeandikwa dpst
Mtu anasubiria mpunga wake hapo