Hivi huyo mhindi ni wa kwenye vile vibanda au mbet? Maana kama ni wa kwenye vibanda sijawahi viona hata siku moja
Wakuu hii handcap ya Meridian inachezwaje?
Kuna over 2.5 inamaanisha magoli yatakua kuanzia matatu, na under 2.5 yaani yatakuwa 2 kushuka. so handcap maana goal difference iwe 2 so hiyo over inaweza kukubeba
Dah yaani mikeka yote vitimu vimeharibu
Naona hadi sasa Arsenal ameua mtu tayariungefata ushauri wangu
nasikitika kusema sima bahati nakaribia mwaka unusu sijawahi kushinda hela zaidi ya sh elfu 40 ..nyie mnaoshinda laki mbili tatu n.k ebu nipeni Tips mnafanyaje au kubet nayo ni kipaj?
Wale watandaza mikeka leo mwaweka wapi maana naona kimya
nasikitika kusema sima bahati nakaribia mwaka unusu sijawahi kushinda hela zaidi ya sh elfu 40 ..nyie mnaoshinda laki mbili tatu n.k ebu nipeni Tips mnafanyaje au kubet nayo ni kipaj?
Jamani mwenzenu leo nimepigwa 25 elf mikeka kama 8 hv!.dah sina hamu.najiuliza lini nitampga huyu mhindi hata lak 2
Hahahahahaaa usikate tamaa ndugu ipo siku utapiga nae picha kabisa...
Wadau,baada ya kupigwa mara kwa mara niliamia set ya GG magoli mengi kpnd cha 2 Naweka buk 10 or 5 kwa timu mbili bt mambo bdo tyt.niamie wp jamani
c nasikia kupiga naye picha hadi uwe umekula kuanzia kilo 5
Hahahahahaaa usikate tamaa ndugu ipo siku utapiga nae picha kabisa...