mkono wa nyoka
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 334
- 54
Vp hizi match wakuu tuzichambue
Gijon vs getafe
Girona vs valladolid
Hiyo GG ndo inakiwaje mkuu.. mi mgeni maeneo hayaHizi normal zitawaua wakuu option nzuri kwa sasa ni GG na Over
Hiyo GG ndo inakiwaje mkuu.. mi mgeni maeneo haya
Hii mm ndo naipenda sema juzi katka timu 11 moja tu ndo ilinipotezea...nliumwa kichwa usik wootetimu zifungane.
GG huwa inaniacha hoi...Hii mm ndo naipenda sema juzi katka timu 11 moja tu ndo ilinipotezea...nliumwa kichwa usik woote
Vocha za supabets zinapatikana pale kwenye duka lao la mwenge itvJamani hakuna aliyefanikiwa kupata hizo voucher za premire betting a.k.a Mhindi?
Pili nasikia supabets nao wana vocha zao...zapatikana wapi??
Duh asa hapo ipi nzuriGG huwa inaniacha hoi...
nikiweka timu 12 inaniharibia 1
nikiweka timu 5 inaharibu 1
hahaaa