Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

inter 2.16 na depo 2.40 izo point smtymz zinazingua ila kwa kuangalia statistics zao wanaonekana wanashinda
 
inter 2.16 na depo 2.40 izo point smtymz zinazingua ila kwa kuangalia statistics zao wanaonekana wanashinda

Yap,nimetumia kigezo cha statistics,ila hii ya Belenenses (2.15) vs Nacional (2.83) naona kama ni fifty fifty,ila mara nyingi naona 2.83 inatick sana kuliko 2.15 hlf Nacional wapo vizuri kistatistics ya h2h.
 
2.83 inatoa mara nyingi ikishindikana inakuwa draw tu
 
ila msisahau biashara imekuwa ngumu sana izi point inawezekana anatutamanisha tu halafu matokeo yakawa kinyume so tusisahau 2+ kesho
 
ila msisahau biashara imekuwa ngumu sana izi point inawezekana anatutamanisha tu halafu matokeo yakawa kinyume so tusisahau 2+ kesho

Hakika,biashara imekuwa ngumu sana,labda GG hasa kwa timu za Portugal na OVER.Maana hii option ya normal imeingiliwa na mdudu.
 
1.51 Rayo Vallecano Lose
2.01 Everton Lose
1.41 Napoli Win
1.51 Valencia Win
mi nakufa hapa tu wadau
 
Dzain kama watu wanajifungia na mikeka yao hawataki kushare na wenzao,"Remember disunity is weakness"
 
Dzain kama watu wanajifungia na mikeka yao hawataki kushare na wenzao,"Remember a disunity is weakness"
 
humu mnazingua natuma mikeka ninyi hamtumi bhaas ni pm namba nuwaadd kund la betting mikeka huku inatumwa sana kila siku
 
kwa leo inatosha
 
Attachments

  • 1452079576488.jpg
    31.9 KB · Views: 53
  • 1452079597356.jpg
    23.9 KB · Views: 54
  • 1452079627118.jpg
    23.7 KB · Views: 53
  • 1452079642706.jpg
    42 KB · Views: 53
  • 1452079656869.jpg
    30.7 KB · Views: 51
  • 1452079673484.jpg
    27.2 KB · Views: 49
  • 1452079707557.jpg
    27.1 KB · Views: 50
  • 1452079728360.jpg
    50.2 KB · Views: 51
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…