samson brown
Member
- Jan 6, 2016
- 9
- 3
Leo habari ya mjini ni sam magoli kila kona kila media,ametisha sana asee!!!!!
Add menipo hapa nawafanyia wote tayar nmewaadd
Napitapita huu mtaa kidogo..... Kule uswahilini yombo vituka kuna mtaa unaitwa "muache apotee"........ Unapita vile tu..... Siku hizi Hamna kuchambua ...Hamna tawimu... Ni namba za simu na kuuza odds.... Tunafukuza kimyakimyaJukwaa limevamiwaaaa cc Mtoto wa nzi Rahim baharia rock city native cute girl
dah kweli gemu gumu sana siku hizinancy
clermont
dijon
auxere
zote win am sure
Ndo hapo sasa kama ni za uhakika kwann asiweke yeye akapata kwani nani hapendi helaJamani hivi hata kwa akili ya kawaida mtu hajiilizi kwa nini muuza odds atumii odds zake abeti apate hela zaidi.