Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Game ya port vale imeahirishwa na ikitokea kama hv kanjibai huwa anafanya nn mkeka unaendelea au
 
Hizi number mnakera sasa. Wenzenu walikuja hivo hivo na what'sApp groups mwishowe wakarudi. Huko watsApp Kuna watu kama nyie , UMOJA WETU NDIO KILIO KWA MUHINDI.
 
Jukwaa limeingiliwa...kila nikifungua humu nakutana na namba za simu badal ya mikeka
 
Huu sasa ni usengerema. Badala ya kujadili game na mikeka ikae vp mnajaza server za jf kwa namba kwa ajili ya wasapu.....
 
Ela ya vocha
 

Attachments

  • 1452721521849.jpg
    1452721521849.jpg
    13.3 KB · Views: 73
Back
Top Bottom