mimi huwanatupia kikapu online ebu tupeane mbinukuna wadau wa kikapu humu? i mean wale wa meridianbet online ambao wangependa trial period of my premium picks ili ajiridhishe kujoin my team anze mwaka kiushindi zaidi? hata kama hujawahi kucheza kikapu nitakupa muongozo wote kikamilifu uwena account tu meridianbet.com basi mengine nitakuelekeza..
mimi huwanatupia kikapu online ebu tupeane mbinu
oklahoma city thunder wape -4.0 frst half spread pointmimi huwanatupia kikapu online ebu tupeane mbinu
leo cheza cleveland -3.5points 1st quarter au cleveland -8.1 1st half
leo cheza cleveland -3.5points 1st quarter au cleveland -8.1 1st half
dah game ipo 2/4 nitupie vp maana hakuna negativeleo cheza cleveland -3.5points 1st quarter au cleveland -8.1 1st half
nipe ufafanuzi kidogo kwa kipindi kilichobakiView attachment 316071 frist quarter imesha kubali kwa walio cheza
hapo kwenye negative sijakupata maana meridian sijaona hizo pointoklahoma city thunder wape -4.0 frst half spread point
dah game ipo 2/4 nitupie vp maana hakuna negative[/QUkazi
safi mkuu kwa kazi nzuri...nitaku pm kwa maujanja zaidi
Hiyo ni handcap. Maanayake, huyo alopewa negative , akipunguziwa hizo point alizopewa negative awe bado ameshinda. Kinyume kwa positive handcapnipe ufafanuzi kidogo kwa kipindi kilichobaki
bet wonwale wa basketball leo tunatoka hivi
usak vs fenerbahce* total points over 156.51.86
hela ipo siku zote mkuu ni ushirikiano tu hamna apa jamvini.Leo hamna hela wakuu?
Log in kwenye aconti yako utaona namba yako ya aconti au wapigie simu watakupaWasalaam Hapa Jamvini!
Wakuu, ni miezi kadhaa imepita sasa Tangu nitumie account yangu ya Meridianbet....
Hivyo nimejikuta hata nimesahau Account ID inayotumika ku_Deposit fedha kwa Meridianbet.
Nifanyeje Wakuu?