jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 3,908
- 15,013
Betting haina fundi kipigo kiko palepale pesa ya dhuruma haina jemaSaiz akija fanikiwa kwenye mikeka yake nakunya toka home mpk kwao saiz ni mwendo nyekund mpk aombe msamaha
Betting haina fundi kipigo kiko palepale pesa ya dhuruma haina jemaSaiz akija fanikiwa kwenye mikeka yake nakunya toka home mpk kwao saiz ni mwendo nyekund mpk aombe msamaha
Alie mpa ambetie ni mmoja tuu wengine alikopa na ku Aidi atawalipa siku flani wengi Ali wakopaWabongo sijui tunanini lakini yaani mtu na akili zake timamu anatoa pesa anampa mtu mwingine ambetie hiki ni kituko cha mwaka
Hakuna haja ya kupambana na hao mawakala. Fungua akaunti ya bank standard Chattered. Unadeposit kwa visa yao na unatoka kwa visa yao. Fasta.Ishu ni kupata tu Wakala muaminifu. Mbona wengine tunatumia hao mawakala na Mambo yetu yanaenda vizuri tu.
Linawezekana hili kweli vip hata ile bet360Hakuna haja ya kupambana na hao mawakala. Fungua akaunti ya bank standard Chattered. Unadeposit kwa visa yao na unatoka kwa visa yao. Fasta.
Tumia link hii kufungua account hapo hapo kwenye sim yako.
Unamjua mhode watu wana toa million 10 na ana watumiaHakuna haja ya kupambana na hao mawakala. Fungua akaunti ya bank standard Chattered. Unadeposit kwa visa yao na unatoka kwa visa yao. Fasta.
Tumia link hii kufungua account hapo hapo kwenye sim yako.
Tuliwambia hapa WAKABISHAWabongo sijui tunanini lakini yaani mtu na akili zake timamu anatoa pesa anampa mtu mwingine ambetie hiki ni kituko cha mwaka
Uzuri tuliwambia hapa wakabishaBAADA YA KUTAPELI WATU KALUDI NA KAULI HIZI AFU ANAZINGIZIA MAMA AKE MUMNGU ALIVIO WAAJABU KATUPIA MKEKA LOST NA SAIZ NAWAAMBIA ATA LOST MIKEKA MPK MIOYO YA WATU IMSAMEHE AU ALIPE ELA ZA WATUView attachment 1697875
Akaunti ipi nzuri mkuu, manake naona wana aina mbalimbali za akaunti hadi zimenichanganyaHakuna haja ya kupambana na hao mawakala. Fungua akaunti ya bank standard Chattered. Unadeposit kwa visa yao na unatoka kwa visa yao. Fasta.
Tumia link hii kufungua account hapo hapo kwenye sim yako.
Samahan mkuu ivi unaanzia shingap kudepost kupitia iyo standard charted accountHakuna haja ya kupambana na hao mawakala. Fungua akaunti ya bank standard Chattered. Unadeposit kwa visa yao na unatoka kwa visa yao. Fasta.
Tumia link hii kufungua account hapo hapo kwenye sim yako.
Tena wewe ndo SIKULIPI,Tuliwambia hapa WAKABISHA
Chukua normal account tu. Debit accountAkaunti ipi nzuri mkuu, manake naona wana aina mbalimbali za akaunti hadi zimenichanganya
Maana hakuna namnaMkuu wacha wapigwe tu.
Admin mbona mnamuacha huyu chizi anaonesha namba za watu? PRIVACY ipo wapi? muuondoeni huyu mtu haraka. Max Mero tuoni huyu mtu.
Hio system ni wizi tupuHv system bet ya playmaster ipoje...nimejaribu hawa playmaster sioni bet ikiwa lost wala kiasi chochote ninachostahili
Mawakala ndo hao hao mnakuja kulalamika mmedhulumiwa!!! Mkidhulumiwa mpige kimya tu! Humu leten tips tu!!Bora utumie wakala kutoa NI ela nyingi Sana
Withdraw lazima ifike hiyo pesa. Sa we unawithdraw pesa kdg unapeleka wapi. Subiri mzigo ukue utoe. Ila deposit ni kuanzia 1500 tsh.Mbona wame weka apo kama laki namtoto ndo naona minmum
withdrew
Asante mkuuChukua normal account tu. Debit account
[emoji23][emoji23] uzuri matapeli wa mtandao ni rahisi sana kunbainiTena wewe ndo SIKULIPI,
Narudia Tena SIKULIPI.
Dadeki