Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mechi za leo ngumu ngumu sana kubashiri
IMG_9835.png
 
Wadau mambo ya kubet matches ni ngumu saa nyengine. Ila hamna kitu kizuri kama kubet esports. Ukipata source ambayo inakupa manipulated odds inakua ni raha sana kila siku ni kula tu.
Kuna jamaa huwa ana connection na esport ana channel yake telegram ya free, but odds ni chache.
Ila kuna hiyo ya kulipia vvip ndo kuna odds nyingi sema ni parefu anaanzia dollar 40 mpka 80.
Acha kupamba watu ili waingie mkenge
Kenge wewe.
 
Back
Top Bottom