Kwaherini, yani hata siwaelewi. Sijui mnaongea lugha gani.Zisifike mbili au zisizidi mbili!!!???
Ni zisifike 2 ..... Zisizidi mbili ni 2.5 under
Thanks and Glory be to God
Siku nzuri sana hii
Thanks and Glory be to God
Siku nzuri sana hii
Pumzika mkuu.mhindi keshanipiga jumla ya laki kama tano hivi mpaka sasa
Good luck mkuu. But mkeka mrefu huochambueni hapo