issakwisa6810
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 309
- 84
We wamo kwenye magroup ya betting wasap naomba muniingize namimi namba yangu ni 0684859622
Nani admin mkuu wa hilo group mkuuWe wamo kwenye magroup ya betting wasap naomba muniingize namimi namba yangu ni 0684859622
Hawa SUPABET wamenipigia cmu kutoka South Africa wananishukuru kufungua account wameniambia wananitumia Bonus ndan ya cku 5, kuna mdau ashapigiwa cmu na hawa jamaa? Maana account yao niliifungua toka mwez wa kumi mwaka jana nikabet mara moja tu, ckuifungua mpaka leo
january imekua ngumu kwa upande wa biashara zote . dau 3 imeenda kwa valenciajuve
chelsea😕
sevilla
valencia
all win
stake 30000
Mkuu humu tunapoteza hela we unaleta mambo ya kuhubiri.Glory be to God again
Haha haha haha..watu washaliwa imebaki gospal kwenda mbeleMkuu humu tunapoteza hela we unaleta mambo ya kuhubiri.
Toka mchana anaingia anadondosha verse na kutimka kie kie kieHaha haha haha..watu washaliwa imebaki gospal kwenda mbele
Au mpaka ukanunue vocha hapo kwao, kesho ngoja niwatembelee, na kuna option moja nimeona wanayo ( 10 minutes betting) nadhan itahusika hiimkuu mm nilijiun
Mimi nilijiunga nao hawa tatizo ni kudeposit salio hadi bank
Au mpaka ukanunue vocha hapo kwao, kesho ngoja niwatembelee, na kuna option moja nimeona wanayo ( 10 minutes betting) nadhan itahusika hii
Mkuu humu tunapoteza hela we unaleta mambo ya kuhubiri.