Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hakika January ilikuwa njema. Baada ya mapigano marefu (Kula na kuliwa) nimefanikiwa kutengeneza faida ya USD 350. Nimerequest withdrawal ya USD 250, nimebakiza USD 100 ya kutumika kwa mwezi February.
 

Attachments

  • wp_ss_20160201_0001.png
    15.5 KB · Views: 49
Hakika January ilikuwa njema. Baada ya mapigano marefu (Kula na kuliwa) nimefanikiwa kutengeneza faida ya USD 350. Nimerequest withdrawal ya USD 250, nimebakiza USD 100 ya kutumika kwa mwezi February.
ooh! glory be to thee

wacha niwe root wa pili maana hakuna namna sasa hahaha.....
 
Oy wadau leo mikeka imekaaje njoon tubashir basi tumpige kanjibay
 
Hakika January ilikuwa njema. Baada ya mapigano marefu (Kula na kuliwa) nimefanikiwa kutengeneza faida ya USD 350. Nimerequest withdrawal ya USD 250, nimebakiza USD 100 ya kutumika kwa mwezi February.
Dah mkuu we hataree aisee, yan in terms of dola
 
Mr Q lazima umshukuru Mungu maana hizi timu kushinda ni bahati sana.... Ajax na Inter wanapigwa dakika ya 90.... ukiona mechi inamalizika salama jua mambo mazuri
 
Mr Q lazima umshukuru Mungu maana hizi timu kushinda ni bahati sana.... Ajax na Inter wanapigwa dakika ya 90.... ukiona mechi inamalizika salama jua mambo mazuri
Ajax jana aliumiza saana watu.mi hope baadhi ya match huwa zipo fixed
 
jaman meridian ukiwithdrw inachukua muda gan mpunga kuingia coz leo n day ya pili hakuna kitu
 
Ajax jana aliumiza saana watu.mi hope baadhi ya match huwa zipo fixed

Naungana nawe mkuu na nilishalisema hapahapa kuhusu fixed matches.Maana mara nyingi nimeona kuwa timu ambayo ipo very pure kwenye statistics dhidi ya mpinzani wake ambaye poor statistics,hutokea watu kuijumuisha kwenye mikeka mingi sana na mara nyingi inatokea imefungwa/kudraw ndipo imani yangu inapozidi ya kuwa kuna fixed matches inazidi kusurvive.
 
Wakubwa nipeni Ufafaanuzi hapa Chini.

1. Norwich Vs Tottenham
2. Leicester vs Liverpool
3. Arsenal vs Southampton
4. West ham vs. Aston Villa
5. Sunderland vs. Man city
6. Man Un vs stoke City
7. Crystal palace vs Bournemouth
8. West Brom vs. Swansea
9. Sassuolo vs Roma
10. Monaco vs. Bastia.
Nambie hapo nimpe nani na nimtoe nani
 

Monaco
totnham
man cty
west ham
weka mzigo wako utaniambia kesho!
 
kitambo sana kipande hii, naona huu utulivu unamaanisha mambo ni safi kabisa, ngoja nitafute odd chache nitarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…