Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
mm nataka niweke under/over nishaurini wadauWakubwa nipeni Ufafaanuzi hapa Chini.
1. Norwich Vs Tottenham
2. Leicester vs Liverpool
3. Arsenal vs Southampton
4. West ham vs. Aston Villa
5. Sunderland vs. Man city
6. Man Un vs stoke City
7. Crystal palace vs Bournemouth
8. West Brom vs. Swansea
9. Sassuolo vs Roma
10. Monaco vs. Bastia.
Nambie hapo nimpe nani na nimtoe nani
Cheza option ya tim kupata angalau goal mjo na kuendelea then tia mpunga Wa maanamm nataka niweke under/over nishaurini wadau
option ipi hiyo? alafu mimi natumia m-bet hiyo option inaitwaje?Cheza option ya tim kupata angalau goal mjo na kuendelea then tia mpunga Wa maana
Ooh... Hyo option inapatiakana meridian betoption ipi hiyo? alafu mimi natumia m-bet hiyo option inaitwaje?
dah.. poa, ila mm nataka niweke hvOoh... Hyo option inapatiakana meridian bet
tatizo m-bet goli 2 ni under, over inatakiwa mechi itoe kuanzia magoli matatu2+ ....
tatizo m-bet goli 2 ni under, over inatakiwa mechi itoe kuanzia magoli matatu
hawa jamaa nawasikia tu, vp wapo vizuri?Jiunge www.mkekabet.com , kuweka fasta kutoa fasta....
Kwa Meridian bet hom team (H1+), kwa away team (A1+)hiyo option ya angalau timu ipate gol inaitwaje??
Namba yako ya simu ndio inafunguliwa account..... Unakuwa ukiweka inaingia kwenye account yako.... Ukitaka kutoa unatuma "W kiasi"....fastawww.mkekabet.com jinsi ya kudeposit sijawaelewa mana reference # wote moja watajuaje kama ni ya account ipi?
Game 3 au 4 ndo mpango mzimahii mkeka bet kama ik poa hivi....
leo mie game tatu tu...
nawatuma kazi wafuatao..spurs,man city na arsenal