Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hahaha navokujua andybird hukawii kuweka mzigo wote leo halafu uanze jutia

Nishautoa mapema.
Walinipa 14000 bonus ndio naitumia kuzalisha hizo hela so natafuta timu zingine nitumie hizo bonus zao hata zikienda hazina hasara maana wamenipa wao hizo bonus
 
Nishautoa mapema.
Walinipa 14000 bonus ndio naitumia kuzalisha hizo hela so natafuta timu zingine nitumie hizo bonus zao hata zikienda hazina hasara maana wamenipa wao hizo bonus

ili upate bonus nimpaka uwe na sifa gani?
 
Meridian njia ni ya kwenda kwenye vibanda vyao vinapatikana kariakoo,buguruni,magomeni,etc.
Au mpesa kwa mpesa soma post za nyuma nimeelezea
 
Wazee wenzangu inachukua muda gan kupata pesa kwenye mpesa cuz nimetoa jana mchana via meridian but mpaka sasa sijapata pesa
 
Nimempa Olimpiacos na Macabi,both normal na handcap,mtaangalia matokeo mjue kama nimekula au vipi! Over
 
Meridian njia ni ya kwenda kwenye vibanda vyao vinapatikana kariakoo,buguruni,magomeni,etc.
Au mpesa kwa mpesa soma post za nyuma nimeelezea

Ku depost meridian reference ulisema jina vp ni jina la kwanza au lapili au yote mawili!?
 
wazee wenzangu hivi hii Live In-Play ikoje, how do they play it? mie naona madude mengiiii ata sielewi wanacheza vipi, ebu nisaidie niijue vizuri
rahim_baharia Andybird123 Rockcity native

Bofya kwenye mechi unayotaka kucheza kisha watakuletea options tofauti kama mech itaishaje au kama goli litaingia au corner kuna options tofauti kulingana na mech...
 
Last edited by a moderator:
Bofya kwenye mechi unayotaka kucheza kisha watakuletea options tofauti kama mech itaishaje au kama goli litaingia au corner kuna options tofauti kulingana na mech...

kuna vitu kama H1, H2, H, ZERO BET, UNDER, OVER, HOME GALS, AWAY GOALS, SCORE TWO OR THREE GOALS, ebu nifafanulie mkuu
 
kuna vitu kama H1, H2, H, ZERO BET, UNDER, OVER, HOME GALS, AWAY GOALS, SCORE TWO OR THREE GOALS, ebu nifafanulie mkuu

Under ni magoli chini ya idadi iliyowekwa mfano under 2.5,0.5 chini ya goli 2,0etc
Over ni magoli juu ya idadi iliyowekwa mfano over 0.5 ikiwa na maana magoli ni zaidi ya moja, 2.5 zaidi ya 3
Home under/over maana yake timu iliyo nyumbani itakuwa na magoli chini ya au juu ya idadi fulani.
Score three goals ikiwa na maana atafunga magoli mawili au matatu, Zero bet sijawahi itumia
 
kuna vitu kama H1, H2, H, ZERO BET, UNDER, OVER, HOME GALS, AWAY GOALS, SCORE TWO OR THREE GOALS, ebu nifafanulie mkuu

hizo H1, H2, ZERO BET cjawahi kuziona angalia vizuri kama ni mechi ya mpira wa miguu..
 
Wakuu,nadhani kuna vitu vingi sana bado hatuvijui kwenye Meridiani,tufanyeni juhudi ya kujifunza kisha tupeane maujuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…