asrams
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 4,798
- 2,652
hahahahahahaha dahUwe waniita na mie maana mie.mhanga wakuliwa kila siku leo nimepoteza hela nyingi kijinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahaha dahUwe waniita na mie maana mie.mhanga wakuliwa kila siku leo nimepoteza hela nyingi kijinga
Ladbrokes nomaaaa wako vizuri mpunga fasta hapohapo
Ni pm nikuelekezeunajiungaje
Ni pm nikuelekeze
Acha uchoyo weka hadharani na wengine tufaidike.
Ndugu kama namba uliyotumia haiko kwenye account yako ya meridian hilo ndio tatizo kubwa.
Piga 0754303232
Wapigie meridian
Mi ilishawahi nitokea nikawapigia wakaniuliza jina,account yangu then wakaiweka hela yangu. Huwa siku hizi nikitumia mpesa wananiwekea mapema
Vp premier na meridian ni kitu kimoja au!?
hao ni wawili tofauti...
raha ilioje sasa nmewakamua iplay8 dola 80 ndan ya masa
a manne
prime meridian au greenwhich nadhan ni ktu kimoja haha (natania mkuu)Vp premier na meridian ni kitu kimoja au!?
nikipiga hesabu hela nilizo liwa na wahindi(premier na meridian) na nilizo kula ..mh nilizo liwa ningenunua zinatosha hata kumiliki kiwnja huko mbwinde zagaulole.... guyss nimeliwa akili/ubashiri/mawazo na hela now nataka niwe nawafuata hawa jamaa wanajiita Zulubet.com vipi kwa anayewajua ubashiri wao ni mzur au njama za wahindi duniani (NZWD)?
Mimi nilizoliwa hata haifiki ya kununua baikeli. Ila nikila tu nazitoa mapemaaaa.
Nimeweka mpango wa kubet 2000 tu kwa siku kwa kila account zangu. Juzi nikapata 110,000 kwa 3000 so mambo mazuri kiasi.