Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo natoka hivi
R.madrid win 1.65
Porto win 1.13
Ajax win 1.13
Roma win 1.29
Basel win 1.28
Grasshopper win 1.97

Total odds 6.83
Natupia 5000 angalau hata nipate yamtaji maana kanjibai kanitandika Sana.
Mkuu ngoja nikufuate maana na mimi kanifanya mteja
 
Braga 1x
Roma win
Porto win
Anderlecht win
Valladolid 1x
Feyenoord win
Olympiakos win
Basel win
Real Madrid win
Ajax win


Mwenye kufuata afuate mimi binafsi sijajifuata maana naogopa addiction ya betting.
Good luck..
 
Braga 1x
Roma win
Porto win
Anderlecht win
Valladolid 1x
Feyenoord win
Olympiakos win
Basel win
Real Madrid win
Ajax win


Mwenye kufuata afuate mimi binafsi sijajifuata maana naogopa addiction ya betting.
Good luck..
Mkuu hata wewe huamini maamuzi yako??[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu hata wewe huamini maamuzi yako??[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Naamini maamuzi yangu ila naogopa betting addiction mkuu.

Ila nitakuwa natupia prediction zangu hapa then furaha yangu itakuwa ni mafanikio ya aliyenifuata.
Hahaha..!
 
Torino
Fc lemonte
Sc Braga
Real Madrid
Valladolid
Fiorentina



Zote Winn odds 12
 
hii ni cape
Chelsea - (+1) Manchester City 1.75 Chelsea Lose Feb 21, 2016 - 7:00 pm
Malaga (+1) - Real Madrid 2.75 Malaga Lose Feb 21, 2016 - 6:00 pm
Frosinone (+1) - Lazio 3.42 Draw Feb 21, 2016 - 8:00 pm
 
Nipo research kwa uhakika wa odds,mpaka sasa odd niliyoprove kuwa inatema ni:-
1.Ile ya home timu kupewa 2.10 na away timu kupewa 3.00.HAPO HOME TEAM MARA NYINGI HUSHINDA TENA KWA HANDICAP

2.Home team ipewe 2.03 mara nyingi nayo hushinda tena HANDICAP.

3.Home team kupewa 1.94 mara nyingi huwa draw.

NIMEAMUA KUSHARE NANYI HAYA MAARIFA ILI TUENDELEE KUSHAURIANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…