Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata 2.22, 1.89, 1.34 Mara nyingi huwa Tims zenye odds za hvo znadraw xana au kupigwa pia
 
Biashara hii imekuwa ngumu sana, madrid kameza mtaji wote.
Biashara ya Leo imekuwa ngumu sana. Leo mhindi kakusanya pesa mingi sana

hii ni cape
Chelsea - (+1) Manchester City 1.75 Chelsea Lose Feb 21, 2016 - 7:00 pm
Malaga (+1) - Real Madrid 2.75 Malaga Lose Feb 21, 2016 - 6:00 pm
Frosinone (+1) - Lazio 3.42 Draw Feb 21, 2016 - 8:00 pm
 
Leo ni hivi wakubwa walio UA hadi sasa na wanaoendelea kuua.
Gent kala 5
Madrid draw
Porto anapumulia machine dk52 keshakula 2
Feneyoord draw
Totenham kala 1

Sent from my TECNO-H3 using JamiiForums mobile app
 
Leo ni hivi wakubwa walio UA hadi sasa na wanaoendelea kuua.
Gent kala 5
Madrid draw
Porto anapumulia machine dk52 keshakula 2
Feneyoord draw
Totenham kala 1

Sent from my TECNO-H3 using JamiiForums mobile app
[emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]

Sent from my TECNO-H3 using JamiiForums mobile app
 
Simba itashinda 3-0 dhidi ya Yanga. Nnabeti. Nikishinda ntapata Shiii Ngapi? Hamis Tambwe wa Simba atafunga goli moja. Amisi Kiiza wa Yanga hatapata goli atika mechi hiyo.
 
Wakuu kunamichezo mingi Sana ila huumchezo tulio amua kuucheza sisi asee unaweza ukakonda kwa stress, anyway betting safari hii imekua ngumu Sana huu mwezi sasa unakata sijala.
 
Niliwambia hapa jana, watu wameishobeka sana hii mechi na ya Atl Madrid
Mechi ya Villareal na Atl Madrid wapendwa kuweni makini nayo sana msije lia kama jana kwa Arsenal kwa ushauri unaweza weka Draw kipindi cha kwanza
 
Hapa walio fata wanakula kuku sasa hivi
KESHO CHAMBUENI HAPA WEKENI MZIGO

Fc Basel 1893 Win
Sparta Praha Win
Botafogo Win
Ajax Win
Roma Win
Olympiakos Piraeus Win
Girona Win

Mimi nimeweka zote M-BET nimeweka buku tatu Jr
 
Mie Jana mapema tu Madrid draw yake ilishanipoteza ,nkawa mzee Linda kila the blues walipokuwa wakipata gol nkasema wafungwe tu man city maana Hanna namna draw ya Madrid ilishauchana mkeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…