Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau, napenda kuwatambulisha jina langu jipya la ubatizo. Sasa naitwa "complex" na siyo "xyz123" tena. So tukikutana huko katika mitaa majukwaa mengine tusalimiane kama kawa. "complex" ndiye yuleyule "xyz123"

Umesomeka mkuu
 
Alianza atletico win 6.37
Al-ahly jedah win 1.46
Sc braga win 1.62
stake: 50,000
winning after tax 626,710.93

tuombeane tu, kama una kifua fuata twende
 
Wadau nina ka elfu kumi mkekabet nitokaje sihitaji mkeka mkuuuubwa hata nkipata 50 pouwa tuuu
 
Roots mtaji umeenda na maji wote Leo nipe mbili za uhakika mkuu nitie hata 10000 nikusanye mtaji mkuu
 
Kila nikichungulia huu uzi nakuta watu wanalia...au hua napita siku mbaya tu?

Sijui nilikua sahii kuacha hii kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…