Man city Leo wananitia mashaka sijui ni nini?
Ndo jina la kampun wala hujakosea[/QUO
naona napo page inazingua,pia wana option chache
Liverpool vs Mcity 28+. - 1.80
Lyon vs PSG. PSG win - 1.75
Total odds 3.1
Stake-Large
Bet what you can afford to lose.
weka hata 50k now mpe double chance lyon maana psg hawakawii kutoa drawwaiting for PSG to win 300k
Unaweza kubet kwa online hao mkeka bet?Nipe stages zake za kufuata nijaribu na huko maana kamtaji kameanza kunyanyuka kdgMkekabet. Kwenye option ya to win in both halves ina odds nzuri kuliko ile ya meridian half T full T
Pole mkuu ila haki yako ipo bado usiogope..nenda kwenye ofis zao hasa makao makuu..wape mkeka wako wataangalia kama umekula hakn longo longo wanakupa chakoGuys Meridian niwahuni... kuweni makini sanaa... mechi ya Barcelona nimeipa ipate goal moja kipindi cha kwanza lakini wameniandikia loser ticket...nafanyaje kupata haki yangu?
Aliye nifuata kapiga pesa,mm nimeamka na mkwanjaUhakika ni hizi
Dortimound
Tottenham
Ajax
Juventus
Barcelona
Villarial
Zote win
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Tupia wa leo mkuu nifuateAliye nifuata kapiga pesa,mm nimeamka na mkwanja
Kaka Hongera mi nauguza Majeraha Tu hapa.Aliye nifuata kapiga pesa,mm nimeamka na mkwanja
Ni kweli ila waliwekwa kwenye mechi za jana M BETBenfica wanacheza leo
Ni kweli ila waliwekwa kwenye mechi za jana M BET