Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naombeni mnipe tafsiri ya "TO WIN BOTH HALVES" iliyopo kwenye mkeka bet.

LET SAY Barcelona vs Sevilla
Je,
1.Kipindi cha kwanza ikiwa BARCA 1-0 SEVILLA na BARCA 1-1 SEVILLA,je ni matokeo yapi yatakuwa yamechana/kutick mkeka.

2.Full time.BARCA 2-1 SEVILLA na ikiwa first half ilikuwa Barca 1-0 Sevilla na Second half ikawa BARCA 1-1 SEVILLA ambapo ndipo final inapokuja BARCA 2-1 SEVILLA sasa ni matokeo yapi yatakuwa yamechana mkeka.
 
Hapo mkuu mbona hakuna option iliokubali kati ya hizo imekubali kipindi cha kwanza lakini imegoma kipindi cha pili ingekuwa goals in both halves hapo sawa lakini kwa hiyo option ingekuwa sawa kama timu moja kati ya hizo isingepata goli kipindi cha pili.
 

So,do you mean,ikiwa first half BARCA 1-0 SEVILLA na hayo ndo yakawa FULL TIME RESULT,mkeka wa TO WIN BOTH HALVES utakuwa umetick?
 
Leo vp jamani?
Lazio
Benfica
Sporting cp
Brighton
Sparta
Cagliari
All win
 
Lazio WIN
Brighton WIN
Cagliari WIN
Benfica TO WIN BOTH HALVES
Sporting CP TO WIN BOTH HALVES
 
So,do you mean,ikiwa first half BARCA 1-0 SEVILLA na hayo ndo yakawa FULL TIME RESULT,mkeka wa TO WIN BOTH HALVES utakuwa umetick?
Utakuwa haujatick mkuu kwa sababu hiyo both halves inamaanisha vipindi vyote sasa hapo atakuwa ameshinda kipindi cha kwanza na kipindi cha pili itakuwa sare utofautishe na ile option half t- full t ndio ingekuwa imetick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…