Lazio kashachapwa Half time.Kweli sio ww, ila huu mchezo wa kubahatisha unajilipua tu uoga hautakiwi
Ongeza na lazio tia mzigo
pole are losing n part of gameWakuu mm nimetembea hivi
View attachment 326547
BTTS imetoa????Utafikiri mechi imeisha
bado 45 nyingneLazio amenikwaza kinomaa
Nishakata tamaabado 45 nyingne
Mechi bado jamani mbona hivyo?Lol lazio analia na wengi leo
Itakuwa ngumu sana kurudisha bao mbili Na moja LA ushindi coz mpaka sasa lazio kapigwa 2-0Mechi bado jamani mbona hivyo?
Ndio utapigwa zaidi.... Usibet ukiwa umepanicNgoja nitafute jinsi ya kurudisha hata nusu ya hasara
Bado haisaidii kituLa tatu disallowed
Nimempa double chance 1x nayo kashindwa kutoaBado haisaidii kitu