Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Atletico Madrid 28+

Milan 28+

Odds 5 ushindi upo hapa leo
 
Wasipate goli ndani ya dakika 28 za kwanza toka mpira uhanze
Duuh... pole mkuu mm kamkeka kangu bado kanapumua ngoja nilale nitachek matokeo asuhuhi ila southampton anataka kuharibu n yeye
 
Pole mkuu Leicester katoa suluhu ya 2-2.
 
Kisicho riziki hakiliki jamani,yaani jana nimetoka na option ya TO WIN BOTH HALVES.

-OXFORD
- RANGERS
-AC MILAN
-A.MADRID
-Leicester
TOTAL ODDS 370 NIKATUPIA 1000

Nyote mnajua alichokifanya mngese LEICESTER
 
Kisicho riziki hakiliki jamani,yaani jana nimetoka na option ya TO WIN BOTH HALVES.

-OXFORD
- RANGERS
-AC MILAN
-A.MADRID
-Leicester
TOTAL ODDS 370 NIKATUPIA 1000

Nyote mnajua alichokifanya mngese LEICESTER
Pole sana huyo Leicester kauaaaa wengiiiii ila tusikate tamaa leo pia ni siku
 
Boss huu mchezo sio wa kuwekea timu nyingi
Jana nilimweka huyo Leicester ila baada ya kutafakali nikasema hapana WB ni mgumu sana
Nikamtoa

Za leo nimepata odds 7 nitaweka 700000
Sisi wengine tutajitoa tutawaacha wenye nazo tu mcheze
 
Boss huu mchezo sio wa kuwekea timu nyingi
Jana nilimweka huyo Leicester ila baada ya kutafakali nikasema hapana WB ni mgumu sana
Nikamtoa

Za leo nimepata odds 7 nitaweka 700000
Dondosha basi hizo mech watu nao wajaribu bahati yao....na sio kuishia kisema odds 7 bila kuweka hapa wadau wakaona kesho ukaja na attachment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…