bravo roothongera mkuu
hongera mkuu
Asantenibravo root
Kuna jamaa kala jana aliweka 2-4 mechi nane zimetoka zoteJana mechi zote za UK premier zimetoa 2+ , 2-4 ngoja njarib na leo
Ngoja nijarib leoKuna jamaa kala jana aliweka 2-4 mechi nane zimetoka zote
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hata mm najaribu hiyoNgoja nijarib leo
Game ya spurs ngumu sn inaweza kuwa sare hata akafungwa.Man u win
Tottenham win
PSG win
Nishajilipua mkuu aina jinsiGame ya spurs ngumu sn inaweza kuwa sare hata akafungwa.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Poa sikilizia mkuuNishajilipua mkuu aina jinsi
Poa sikilizia mkuu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Jamani mbona mimi nikitaka kuweka pesa zaidi ya laki kwenye M Bet inakataa?
Game ya spurs ngumu sn inaweza kuwa sare hata akafungwa.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Wazee Leo Niko kiivi, tuombeane
Bob kesho hela unachukua hii hakuna mchawi hapa JrWazee Leo Niko kiivi, tuombeane
Game ya man city na liverpool ngumu hiyo aieoeweki yoyote anaweza shinda..sijaulipia bado huu, nimtoe nani hapo kimeo ikiwezekana niongeze mzigo
Kama yoyote anaweza kushinda mm nimempa man city, liva wachezaji wengi hawachezi alafu jana leicester city kadroo so city anaitaka ile nafasi ya juu ushindi ni muhimu kwao akicheza na viporo vyake mambo si mabayaGame ya man city na liverpool ngumu hiyo aieoeweki yoyote anaweza shinda..