Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Roootssss uko wapi Braza
Mtoto wa nzi
Teja junior
Nsaidieni Leo nitoke vipi
 
Guys nawezaje ku-attach pic hapa..nimescreenshot mkeka wangu najaribu kuuweka hapa nipate comments za wadau nashindwa
 
Hatimaye nimeweza kuuweka mkeka wangu hapa, guyz kwanza mjue ni mara yangu ya kwanza ku-bet..naombeni comments zenu as days goes on nikipata uzoefu nitapandisha dau langu maradufu.
 
Attachments

  • 1456927174391.jpg
    37.1 KB · Views: 26
Hatimaye nimeweza kuuweka mkeka wangu hapa, guyz kwanza mjue ni mara yangu ya kwanza ku-bet..naombeni comments zenu as days goes on nikipata uzoefu nitapandisha dau langu maradufu.
Ebu nielekeze unachanganya vp options? Naona umeweka ushindi wa kawaida na dk 45?
 
Ebu nielekeze unachanganya vp options? Naona umeweka ushindi wa kawaida na dk 45?
Kwenye m-bet online page yao, ipo options ya kuchanganya michezo..wanachanganya Normal,handcap & 45min then ni wewe tu kuchagua..Nimeogopa handcap ikabid nichanganye Normal na 45Min.
Kiukweli ndio mara yangu ya kwanza ku-bet hivyo naombeni mbinu zaidi za kuibuka kidedea.
Nahisi kama vile nimechagua mechi nyingi(10)?? Wakongwe mtaniambia.
Kama kuna company zingine nzuri zaidi ya m-bet niambiane pia ila nijaribu na huko
 
Meridianbet
 
Sawa, nielekeze unachanganya vp
 
Hiyo option ya kuchanganya michezo inaitwaje?
 
Hiyo option ya kuchanganya michezo inaitwaje?
'Play Multiple bet'
Itakuja Normal, Handicap na 45Min kwa kila game iliyopo siku hiyo, then utapaswa kuchagua option moja/per game. Hivyo game hii unaweza kuchagua 45Min, nyingine ukaweka handicap, na nyingine tena ukaweka Normal...ni hivyo tu mkuu
 
Poa mkuu nimeiona
 
Naomba ufafanuzi kwenye ile Play Super 1×2 mwenye kuielewa please...nimeona tu unapewa game 12 za kubashiri na nyingine 4 zipo reserve...sasa hz reserve games zina msaada gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…