Kwa hio kuna William Hill bet, Meridian, mbet, mkekabet, premier bet...eeenhhh bet company zingine ni zipi?kwa mnao tumiawilliam hill betting site msisahau hizi option kwa timu za leo,mpunga nje nje
1.
CORNER awarded in the first 5 minutes? 00:00 - 04:59
2.25
Yes
1.60
No
2.
What will happen FIRST in the first 5 minutes? 00:00 - 04:59
9.00
Goal
2.30
Corner
21.00
Card
29.00
Penalty
1.85
None
3.
Match Goal - 1st To 15th Minute?
3.00
Yes
1.36
No
4.
Match Goal - 81st Minute To Full Time?
2.37
Yes
1.53
No
William hill pekee ingawa uinaweza kujisajili kama kawaida na kuendelea kubetZa kibongo ni zipi tofauti na hizo nilizotaja hapo juu?
Ingia Mkekabet.com iko option ya sign up/registration then fuata maelekezoMkekabet wanajisajili vp?
Mm natumia whoscored, hiyo fotmob ipo vzr?Kuna Apps zipi za sport nzuri zenye taarifa nyingi za team na wachezaji kabla & baada ya match.
Mimi ninazo mbili tu FotMob na Whoscored.
duh sasa hapo unaweza ukaongea hata na mchezaji atoe mpira ili iwe kona, alafu unatumbukiza savings zako zoteSasa huu mtaa si pesa nje nje jamani
Nimeichukua ila jamaa hawatabiri matokeo?Kiasi chake ila sio kivile sana, ngoja tusubiri michango ya wakongwe labda kuna google apps zingine nzuri zaidi
mkuu wenzetu sio kama wabongo wanao bana option ili wale wao tu ,wenzetu wapo fair kiasiSasa huu mtaa si pesa nje nje jamani
betting ni probability bt kuna options probability ya kutotokea ni kubwa kuliko kutokea ,mfano hizo correct score,so why risking even your Tshs 100 kwa kitu ambacho possibility ya kutokea ni ndogo.Betting maana yake inajumuisha financial management ukitaka kujua hata shs 100 yako ina thamani jiulize kwa nini hizi site za kubashiri wanaweka kiwango cha mwaisho cha fedha hadi Tsh 100.Correct score st.etienne vs psg 1-3
St.etienne vs psg 1-3
Celtic vs dundee 2-1
Odds 108..kitu cha correct score
Sawa mkuu! Ila kama umeshaamua kucheza huu mchezo inabidi uwe risk taker tu kwa option yoyote ile.betting ni probability bt kuna options probability ya kutotokea ni kubwa kuliko kutokea ,mfano hizo correct score,so why risking even your Tshs 100 kwa kitu ambacho possibility ya kutokea ni ndogo.Betting maana yake inajumuisha financial management ukitaka kujua hata shs 100 yako ina thamani jiulize kwa nini hizi site za kubashiri wanaweka kiwango cha mwaisho cha fedha hadi Tsh 100.
Ninacho manisha ni kuwa thamini pesa yako hata kama ni TShs 100
zitatoa I1-01 na I1+duuuuuh huko ujerumani leo hapasomeki pataliza wengi ila tusubir huenda upepo ukabadilika second half