Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahahahaha kwa matokeo ya jana kuna mtu kala humu hahahaha nimecheka sana matokeo ya jana
39d021cfe832ae6b6581727b23322133.jpg
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
wadau mimi nashauri mtu uki bet, bet for fun, sio unabet eti ndio upate kipato cha kufanyia ishu zako, utakufa kwa pressure
Point... ila wengi wao wanatumia hela zenye matumizi mengine mfano tution fee au mkopo ili kuzalisha zaidi. kivyovyote huyu mtu hawezi kubet for fun, ili kubet for fun ni lazima mtu atumie pesa za ziada ambazo haziadhiri hata ukimangwa.
kumanga raha sana... ila kumangwa daaah
 
Mkuu ubaya ni kwamba, wewe unabet for fun wakati makampuni ya betting yanatengeneza pesa. Hakuna kitu kama kubet for fun. "Betting means bussines.!", suala la kusema bet for fun wakati makampuni ya betting yanatengeneza faida kwangu hakuna, Ama zangu ama zao. Sema tuu la msingi ni hili " Bet what you can afford to loose " otherwise unaweza aibika one day ukaonekana huna maana.
 
Cute b nimependa hiyo phrase aisee

😀😀😀😀😀
 
U bet for fun wakati ni hela inatumika na muhindi yeye anaingza tu!
weka buku, buku mbili n.k ukiwa unatupia 20,000, 30,000 au 50,000, eti kwa "mechi za uhakika" utaumia sana

betting ni ulevi kama pombe hivi na ni addictive ile mbaya
so unakula unaenjoy na ile thrill ya kusubiria matokeo pia ni burudani tosha
but in the end you will always end up losing more money kwa bookmaker
 
Mkuu ubaya ni kwamba, wewe unabet for fun wakati makampuni ya betting yanatengeneza pesa. Hakuna kitu kama kubet for fun. "Betting means bussines.!", suala la kusema bet for fun wakati makampuni ya betting yanatengeneza faida kwangu hakuna, Ama zangu ama zao. Sema tuu la msingi ni hili " Bet what you can afford to loose " otherwise unaweza aibika one day ukaonekana huna maana.
Kana Tata Nimeipenda MURA WEITU
 
betting ni business ambayo yule anaye bet always ni loser in the long run,

anayeweza kufanya betting ikamlipa kama business ni yule bookmaker,
wewe mteja wao ni guaranteed loser kama utaifanya iwe ndio ya njia kukuingizia kipato
 
Betting is fun
Betting is Business kuna watu wanaishi kutokana na betting tu
Sisi wengine twafanya kama sehemu ya mchezo ndo maana twampa Chelsea sababu tu ni mashabiki wa Chelsea
Betting is good and bad hii yategemea na unabet ili iweje
Msitumie Ada kubet mtajuta maisha

Mwisho
The House Always win
 
Mkuu kikubwa mimi naona issue siyo betting for fun or for business kikubwa tufanyeje ili tupunguze makofi ya kanji? Kwani hata kama unafanya for fun huwezi kuinjoy kila siku una lose
 
Beeting imekuwa ngumu hasa jana arsenal kufungwa alikatisha watu wengi tamaa
 
Mura achana na Hiro RiArsenal Wajarumani wale Tata Yan Leverkusen na Bayern Munich kana warinirarua Vibaya sema kwa vile Mimi PIA Ni Ing'ang'a Siwezi kukatama Hyu Muhindi IPO siku yake Ntampasua Panga la Mirioni kadhaa
 
betting ni business ambayo yule anaye bet always ni loser in the long run,

anayeweza kufanya betting ikamlipa kama business ni yule bookmaker,
wewe mteja wao ni guaranteed loser kama utaifanya iwe ndio ya njia kukuingizia kipato

Honnestly kwangu mimi nikiangalia mahesabu yangu toka nimeanza kubet nimemla muhindi. Ila mwanzo nilikuwa natandika mikeka nilikuwa napasuka sana. Ila toka nibadili mbinu na kuwa naweka single bets nimepata faida na pesa niliyokuwa nimeliwa nimerudisha yote.

Sitegemei betting kama source ya pesa zangu 100%. But hapo hapo siwezi sema betting ni for fun maana swala la pesa lishaingizwa. Na kwa kuwa pesa ishaingizwa, kwangu mimi nairegard kama bussines
 
Back
Top Bottom