Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Arsenal wanachana mkeka wangu niliwapa sare tu ***** zao
 
best option to play
1.1-2 goal 1st half
2.1-2 goals 2nd half
3.NGNG
4.GG
5.Goal both half
6.2-4 goals
7.HWO/AWO-Home/away team does not lead either half
8,HWI/AWI-Home/away team kushinda kipindi kimoja tu na kipindi kingine kutoka droo.
9.
Ahsante sana kiongozi kwa ushauri unaotupa
 
Real Madrid
Athletic bilbao
Dortmund
Sevilla
Man utd
Arsenal
Psg

Hizi mechi zisiwe na sare.... Double chance 12
Odds 3.05
Mkuu hongera sana nimekufuata sema tatizo sikuweka huge stake ninge cheka leo
 
Ndomana nasemaga kula bahati hakuna kanuni unaweza kuweka timu nyingi ukala na ukaweka tinu chache ukachana mkeka
Kati ya hizo timu chache za kuweka nani hajampa spurs, au arsenal au bayern au man city?
 
Inategemea umewapaje..... Kupunguza risky siwekagi ushindi kwa mtu.... Naweka ashinde yeyote.... Alienifata ameamka anacheka..... Timu hizohizo ungewekea normal arsenal angeua.....
 
Inategemea umewapaje..... Kupunguza risky siwekagi ushindi kwa mtu.... Naweka ashinde yeyote.... Alienifata ameamka anacheka..... Timu hizohizo ungewekea normal arsenal angeua.....
ndio uzuri wa double chance haiwezi kukuangusha kila siku,mfano jana katka timu ulizo ziweka match 2 zilitoa droo.but leo katk ligi zote kubwa ktk mach 18 zilizochezwa ni mechi 1 tu ya celta vigo vs villareal ndio wametoka draw.
 
Hahahahahaha kwa matokeo ya jana kuna mtu kala humu hahahaha nimecheka sana matokeo ya jana
 
Hahahaaa mkuu nacheka sio kwamba nakucheka ila mambo ni magumu sikuhizi. Hii biashara imekua ngumu. Ni option nyepesi kama utafanya uchambuzi mzuri na kujua ni timu gani zitafungana yaani kila timu lazima ipate goli. Na kama utaweka timu chache kama 2 au 3 na kuweka stake kubwa basi itakua vema. Ila kama utaweka treni basi itakua kila siku ni kilio.
hahaaaa, eti bashiri nyepesi
huyu mdau hajawahi ku bet akaona mambo yanavyogeuka utadhani unafanyiwa uchawi😀😀
 
1456989995294.jpg
 
Back
Top Bottom