Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ukitaka kuwa for fun.... Tengeneza mkeka.... Usiulipie kaaa nao tu au tupia jamvini humu..... Usiulipie.... Unakaa umeuandika PEMBENI mechi ikichezwa unatiki au x..... Mwisho wa siku unajisemea daaah ningempiga leo hiyo ndio for fun.... Ila ukishaulipia tu hiyo ni biashara..... Katika scarce resources money is on top always not enough..... So usiichezee eti unajifurahisha.....
 
Mkuu kikubwa mimi naona issue siyo betting for fun or for business kikubwa tufanyeje ili tupunguze makofi ya kanji? Kwani hata kama unafanya for fun huwezi kuinjoy kila siku una lose

Mkuu cha kufanya kupunguza makofi ya kanjibai ni kuachana na mikeka. Wekeza katika single bet, high stake. In long run utakuja kuta umemtandika kelbu kanjibai.
 
Honnestly kwangu mimi nikiangalia mahesabu yangu toka nimeanza kubet nimemla muhindi. Ila mwanzo nilikuwa natandika mikeka nilikuwa napasuka sana. Ila toka nibadili mbinu na kuwa naweka single bets nimepata faida na pesa niliyokuwa nimeliwa nimerudisha yote.

Sitegemei betting kama source ya pesa zangu 100%. But hapo hapo siwezi sema betting ni for fun maana swala la pesa lishaingizwa. Na kwa kuwa pesa ishaingizwa, kwangu mimi nairegard kama bussines
basi nakutahadharisha eventually utazirudisha zote kwa mhindi kisha utamwongezea nyingine juu
 
Ukitaka kuwa for fun.... Tengeneza mkeka.... Usiulipie kaaa nao tu au tupia jamvini humu..... Usiulipie.... Unakaa umeuandika PEMBENI mechi ikichezwa unatiki au x..... Mwisho wa siku unajisemea daaah ningempiga leo hiyo ndio for fun.... Ila ukishaulipia tu hiyo ni biashara..... Katika scarce resources money is on top always not enough..... So usiichezee eti unajifurahisha.....
hapo sasa kutakua hakuna fun, fun ninayomaanisha ni ile unatupia kitu ule mshawasha wa kusubiria tokeo lote kwenye mkeka ni excitement tosha, halafu mkeka wote ukitiki ndio unafikia climax
 
Nimecheza kwa muda sasa na sijui kama nitaacha ila nimepunguza timu tu kutoka 10 hadi 2 kwa siku au moja

Mimi betting sio sehemu ya kipato ninachotegemea, ni mchezo kama mchezo mwingine
Ila timu zikiharibu najiskia bibaya
 
Sparta Praha
Dinamo Bucharest
Granada
Midstyland
Hull
Boca juniors
St. Pauli
Espanyol
Argentina juniors
Kusiwe na sare hizi mechi
Odds 9.5

Kama vp jitafutie mechi chache weka zigo.....

Bucarest ni semis hivo inaweza kutoka draw
Ingawa nimependa jinsi unavyoweka mikeka yako no draws
 
Jamani mimi naombeni maelekezo namna ya kucheza single bet. Mimi nimekomaa tu M bet ambayo ina option chache lakini naona kuna watu wanaweka mikeka humu sijui hata imetokea wapi
 
Wa kusoma
hihi upoo [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mkuria Mnaa
ila
Mpolee
 
Honnestly kwangu mimi nikiangalia mahesabu yangu toka nimeanza kubet nimemla muhindi. Ila mwanzo nilikuwa natandika mikeka nilikuwa napasuka sana. Ila toka nibadili mbinu na kuwa naweka single bets nimepata faida na pesa niliyokuwa nimeliwa nimerudisha yote.

Sitegemei betting kama source ya pesa zangu 100%. But hapo hapo siwezi sema betting ni for fun maana swala la pesa lishaingizwa. Na kwa kuwa pesa ishaingizwa, kwangu mimi nairegard kama bussines
Mbinu gani mkuu unayotumia na mm nikufate nirudishe pesa zangu? Maana hata mm nimepasuka sn
 
Kwahiyo single bet maana yake kubet mechi moja tu? Ila nayo ngumu kwanza utatakiwa uweke mzigo wa maana pili hiyo timu ikifungwa au ikitoa sare si yaleyale tu mkeka mchanika?
Au sijaelewa?
Ndio maana yake mkuu
 
Hapo nadhan option nzur ni 1st goal 28+ kwa single bet inafaa sna
Huu mchezo wa kubahatisha options nyingi ni nzuri tatizo kupata ndio ishu
Mfano over/under ni option rahisi sn
Au kila timu ipate goli tu ni options nzuri na uwezekano ni mkubwa hata hizi options nilizozitaja ukiweka timu moja lazima ule
 
Back
Top Bottom