Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

7 katika 9 zimetoa.... ila kaka Root alionya kwa bucharest..... haina mbaya.... napunguza idadi mpaka mechi7...sifiki tena 9.... ikikataaa tena nashuka mpaka 5.... point 4 haukosi....

Ila ulijitahidi sana
Bucarest nilimwona atasumbua ndo maana nikatoa tahadhari mapema kabisa
Ila si mbaya sana
 
Jamani mimi naombeni maelekezo namna ya kucheza single bet. Mimi nimekomaa tu M bet ambayo ina option chache lakini naona kuna watu wanaweka mikeka humu sijui hata imetokea wapi

Mkekabet watakuwa wazuri zaidi
Hela unaipata haraka sana
Unaweza weka hadi 1mil
 
Ili lisemwalo litimie.... Acha tusiweke tu sasa....... Ukiweka shida usipoweka shida.... Unafatwa inbox mpaka unakoma.... Ukirudi kwenye uzi napo shida..... Mbona wengi tu wanaivunja wanakula.... Kuna raia shukran ni SIFURI.... Wenye nia na kuona mchango wangu watanifata inbox kama hawa.....
 
Attachments

  • Screenshot_2016-03-04-09-58-14.png
    Screenshot_2016-03-04-09-58-14.png
    53.9 KB · Views: 34
Ili lisemwalo litimie.... Acha tusiweke tu sasa....... Ukiweka shida usipoweka shida.... Unafatwa inbox mpaka unakoma.... Ukirudi kwenye uzi napo shida..... Mbona wengi tu wanaivunja wanakula.... Kuna raia shukran ni SIFURI.... Wenye nia na kuona mchango wangu watanifata inbox kama hawa.....
Mtoto wa inzi achana na hawa watu wasio na haya yaaani hawaoni michango mnayotoa humu wanataka viwassap vyao tu daaa hapana Mtoto wa nzi tunakutegemea jukwaani usipotee huko inbox sio kabisa
 
Hujitambui wewe...... Hauoni mikeka tukiiweka eti..... Ndio mnakatisha tamaa watu mpaka hawaweki maana ukiweka majungu usipoweka majungu.... Bila shaka ni wa watsapp wewe... Kama unadharau hauipitiii ni wewe....... Rudi watsapp huko

Hapa ndani ukiweka mikeka watu hawafati au wanaongeza na yao
Siku ukishinda uweke hapa utajuta kwanini uliweka maana watu wanatoa matusi kweli

Sio kila kinachowekwa hapa mhusika anachukua timu zote, watu wanachukua timu chache sana
Walianza na whatsapp yao wakatuvuruga sasa wanarudi na kulalamika

Ila bora bro ufanye yako pembeni maana mwisho wa siku ukipoteza wanakulaumu au kukucheka
 
e banaee raha ya kubet mechi ujichagulie mwenyewe banaaa
 
Mtoto wa inzi achana na hawa watu wasio na haya yaaani hawaoni michango mnayotoa humu wanataka viwassap vyao tu daaa hapana Mtoto wa nzi tunakutegemea jukwaani usipotee huko inbox sio kabisa
labda tatizo ni yeye kuwa mtoto wa nzi
 
labda tatizo ni yeye kuwa mtoto wa nzi
Mdau.... Unapoweka mkeka haumlazimishi mtu....na huu uzi ulianzishwa kwa dhumuni la kuchangia na kuchambua mechi.... Ukaweka timu Kadhaa unazoziamiani mwingine anaweka zake... Mnajadili mwisho wa siku.... Kila mtu atacheza kwa mawazo yake.... Na mtu akiweka timu 7 9 12.... Haukazimishwi kuchukua zote tafuta zile instincts zako zimechagua... Hakuna anayekuchezea unacheza mwenyewe.... Hata unaposema raha ya kubet ujichagulie mwenyewe ni yale yale kukataa ngano ukala chapati..... Bila shaka unawapitia watabiri mbali mbali duniani hapo haujajichagulia umechaguliwa.....
 
Hapa ndani ukiweka mikeka watu hawafati au wanaongeza na yao
Siku ukishinda uweke hapa utajuta kwanini uliweka maana watu wanatoa matusi kweli

Sio kila kinachowekwa hapa mhusika anachukua timu zote, watu wanachukua timu chache sana
Walianza na whatsapp yao wakatuvuruga sasa wanarudi na kulalamika

Ila bora bro ufanye yako pembeni maana mwisho wa siku ukipoteza wanakulaumu au kukucheka
Root hawa watu wa WhatsApp ndio wamekuwa tatizo kwenye huu uzi yaani hawaishi vituko
 
Umoja ni nguvu wakuu.... leo chambua hapa
Caen 28+
Roma 28+
Pacos Fereira win
Middle win
Gent win
Nurnberg win
Dijon win
Auxerre win
Le Havre win
Vvv win
Eindhoven win
Nac win
Sparta 2&3+
St. Polten win
Aus klagenfurt win
AaB win
Forest Green win
Feirense win
East Riffa win
 
Wametukuta hapa watatuacha kama si kifo kutuchukua tutabakia hapa hapa
 
TODAY
Austria Klagenfurt win
Sparta win
Gent win
Cork city win nataka niweke 100,000 ushauri wadau
 
Root hawa watu wa WhatsApp ndio wamekuwa tatizo kwenye huu uzi yaani hawaishi vituko
No , Masela acheni Urumbi bana tuweke Strategies za kupambana na sio tija kwa ugomvi. Mtoto Inzi, Root,J Aggey, Real G N.k Haina sioni tija ya Urumbi Bhamura bheitu Tujipange na Kupeana Mawazo juu Hyu Muhibdi tumpigeje Au sio Wazee Samahani lakini Kana naweza kuwa nimewakera kwa kutaja Ids Zenyu.
 
Hamna kero mkaruka... Wote ni wamoja.... Shida inakuja hawa raia wa wasapuni.... Mdau kama ingekuwa ni kuwahanya hao wanatuvunja mioyo huu uzi ungekufa kitambo.... Miaka mi3 sasa tangu huu uzi uanzishwe.... Wamekuja wameenda.... Wamewasapika wamerudi.... Sisi tupo tu.... Tumeshatukanwa humu.. Dharirishwa kwa maneno ya kejeli tupo tu.... Haijalishi... Ila kwa kuwa wote binadamu na tena tuna nyongo inabidi inafika hatua unakaa kando kidogo uache kizazi cha Mzeee wa Msoga kijiachie..... Maana katika vizazi vyoote kizazi cha Mzee wa Msoga na mwisho mwisho wa Bwana Bepari... Acha sisi wa Ruksa na Kifimbo tuwe wastaarabu
 
Back
Top Bottom