Zoezi limeanzia hapaaaaa.....
Akajibiwa hivi....
Akajibu hivi
akachangia comment yangu ...Tukaenda sawa tuuuu.....
nilipomjibu hii comment yake
Sasa kwa nini nimekwambia hujitambui 1)kikapu mostly inachezwa live ... hauwezi kuweka huku kwenye uzi na ukaiwahi, 2)unasema nimeingilia mazungumzo hivi mlikuwa mnachat inbox au hapa kwenye uzi, 3) nimesema hauoni "TUKIIWEKA" sio "NIKIIWEKA"... wengi wanaweka hamuifati kurasa zikivuka akija kupost kashinda mnalaumu....
kama umeamua kuondoa stress zako na mimi siwezi kukuzuia .... kama nyongo nnayo na nachukia pia kama wewe....sio jiwe mimi....