Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimekwambia endelea kuchonga ukichoka utaacha, sasa mm sio dogo wala faza wala braza mm ni babu kabisa
shida iko wapi sasa ukiwa ni mbabu...... kumbe mababu wote wanalingana..... hata JAJI WARIOBA NI BABU LAKINI NI DOGO KWA KINGUNGE NGOMBARE MWIRU..... UNAWEZA KUWA BABU NA UKAWA DOGO ..... hii ni tution ya bure usilipie
 
hawa meridian kama wameshindwa biashara ni bora waache,kila siku ni internal server error yani hadi kero
 
Hebu punguza timu weka 500k
Meridian watu tumemhama zamani sana najua anapita humu
[emoji4] [emoji35] [emoji35] [emoji34] meridian kazingua siku hizi sana.
Yani sipati huduma za uhakika inatia sana hasira. By the way Niko mkuu ntalifanyia kazi neno lako
 
[emoji4] [emoji35] [emoji35] [emoji34] meridian kazingua siku hizi sana.
Yani sipati huduma za uhakika inatia sana hasira. By the way Niko mkuu ntalifanyia kazi neno lako
merdian biashara ya online umewashinda... wanazingua sana kama haujabet leo kesho uwezi kubet sababu ya mtandao wao ni wa ovyo sana..
 
Aalborg
Numbers
Stade brestis
Le harve
Ajax II
NAC Breda
Punguza upate 2 au 3 hapo.
 
Back
Top Bottom